Hukumu kesi ya viongozi wa chadema tuhuma ya kumpiga dc igunga yaairishwa tabora

mjuaji

Senior Member
Apr 6, 2012
166
22
Kesi inayowakabili Mbunge viti maalamu CHADEMA Morogoro SUSAN KIWANGA na mbunge wa Maswa Sylivester Mhoja Kasulubayi A.K.A YESU WA MASWA na wengine wawili imeairishwa hadi 20/7/2012.Wanachama wa CHADEMA walikuwa wamejaa mahakamani toka saa moja asubuhi. NaWanachuo wa SAUT TABORA walikuwepo wakiongozwa na KAMANDA MUKAMA.Hakimu kasema hukumu inaendelea kukamilishwa.Watuhumiwa hao waliongozana na MREMA WA CHADEMA,NA WABUNGE WAFUATAO.DR MBASA,.CHRISTINA LISU..CONCHESTA RWAMLAZA.NA PHLIPO MTULAMO..chanzo nilikuwepo mahakamani.
 
Back
Top Bottom