Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

Hukumu mbona JK alishaitoa jana wakati anazungumza na wahariri wa vyombo vya habari!
 
Mods tuwe na namna ya kudhibiti threads ka hizi zinakuwa branded "LIVE". Inatia hasira kweli
 
Jamani wengine wakimbie kwenye msitu wetu ule wa mabepande wakamuangalia mtoa nyuzi live asije akawa anakoroma kule
 
hebu tukamuangalie huyo jaji mabwepande labda kapumzishwa huko au tumpigie sim kova kama kuna mkenya yoyote kakamatwa?
 
Hukumu itasomwa saa nane napiga jaramba nitakuwa nawajulisha live

kama imeshindikana kusomwa toa taarifa sio unakaa kimya wakati unajua wadau tumekaa mkao wa kula...au wamekushitukia nini wamenyang'ang'anya kimchina chako.?
 
Kama mtu ulikua huna cha kutujuza, ulikua huitaji kufanya ulichofanya, hujui ni kwa kiasi gani umetutia hasara
 
kama imeshindikana kusomwa toa taarifa sio unakaa kimya wakati unajua wadau tumekaa mkao wa kula...au wamekushitukia nini wamenyang'ang'anya kimchina chako.?

mkuu hukumu ishatolewa jana....no pay for teachers.
 
sasa ni saa 3:42. hiyo ukumu itasomwa saa ngapi jamani? wengine tunatumia computer za ofisi na saa za kazi ndiyo zinaisha. tuoneeni huruma jamani , tupeni updates .
 
Huyo Rais wetu kiboko sana kila kitu anachukulia kawaida, Wafanyakazi aliwajibu hivi hivi siku ya uchaguzi akawalamba miguu na Walimu komaeni atakuja kuwaomba msamahaa

Kikwete alishasema hakuhitaji/haitaji kura za wafanyakazi....
Kwa hiyo mateso mnayopata sasa ni kwa kuwa thamani yenu hakuiona tokea mwanzo katika zoezi la uchaguzi mkuu
 
Back
Top Bottom