Huku tunapokwenda sasa hakufai

KakaNanii

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
325
52
Mtu anaweza kufa hivi hivi kwa mambo kama haya !!!
 

Attachments

  • HII VITA-JAMII.jpg
    HII VITA-JAMII.jpg
    30.7 KB · Views: 164
Huyo ameumia kweli au? maana CCM ni wazee wa ghilba au alifumaniwa, anakuja kuleta ulalamishi kwenye siasa..:biggrin1:
 
Hapo mbona kigugumizi!Kwavile aliyelambwa jiwe ni ccm hakuna tatizo hila angekuwa mpinzani pangechimbika!ujinga mtupu,Kuna maisha baada ya uchaguzi-Zitto Kabwe.
 
si-hasa hizo...!

nasikia mwana sisiem halisi hutoa DAMU YA KIJANI..! :biggrin1::biggrin1:<!-- google_ad_section_end -->


U made me burst
 
Back
Top Bottom