Huku si kudanganya umma???

Sisi wa Sikonge, kijana Said "Hitler" Nkumba aligawa pesa ili MSONDO NGOMA wanunue Kinanda.

Wakati huo kwa sasa hapa Sikonge, mwaka huu njaa kali sana na watu hawana chakula.

Heri huyo walau kapeleka hilo kopo kuliko sisi kumpa Msondo hiyo pesa ambayo sijui waligawana saa ngapi.



Mbunge Wa Jimbo la Sikonge Tabora Saidi Mkumba akimkabidhi Kiongozi wa Bendi ya Msondo ngoma Saidi Mabera Kitata cha Shilingi Laki Tatu kwa ajili ya bendi.

Laki tatu tu(300,000.00) njoo uchukue lakini hakikisha zimefika sikonge.Jamani wakati mwingine bwana hawa jamaa wanaweza pewa msaada na masharti juu peleka hizi pesa kwa niaba yetu na tuone picha ukikabidhi na iandikwe gazetini la sivyo rudisha pesa yetu,tunakupa hii computer ukaitoe kijiji cha ???????????????? na upigwe picha ukiwa unakabidhi.hii ni desturi ya wabunge wetu waomba misaada.Ukiangalia kweli coputer na viambata vyake ni waste jamani hatuoni aibu sisi viongozi ?mwisho tutaenda toa misaada nguo zetu za ndani ambazo hazitutoshi tena kwa kunenepa na nyama choma na bia za dodoma.
 
Duh ..!!! sitaki kuamini kuwa Makala ni kilaza dizain hiii hii ni hatari...



Watanzania wenzangu, kama mnavyojua Tanzania iliondoa kodi kwa mtu yeyote anayeingiza kompyuta nchini. Lakini hata hivyo kuna sheria zilizowekwa kusimamia uchakavu wa vitu vinavyoingizwa Tanzania ili kuzuia nchi yetu kuwa dampo. Nimejaribu kuangalia hii picha kwa makini nimeshindwa kupata la uhakika, ila kwa mtazamo na maoni yangu niliamini kuwa hapa huyu Mbunge Makalla anatania au kuudanganya umma. Naamini hapa atakuwa anatamba kuwa ametoa msaada wa kompyuta, na printa, lakini inaoneka hivi vifaa ni vya zamani. Angalia hata keyboard.....jamani tuacheni kudanganya umma.
Wadau toeni maoni kuhusu hii picha hapa.

2.JPG
 
Yaleyale tunasema. Nauli ya ndege kutoka Tabora hadi Dar na Tabora tena ni laki 3. Sasa nikisha kula na kutafuta pa kulala, si ntatumia zaidi?

Huoni ndiyo upupu alioufanya huyo Mshamba hapo ju? Kufunga safari na waandishi wa habari kupeleka Computer Pentium kijijini kwao? Gharama zote nina imani zimezidi saana tu gharama za Computer. Nakushauri uwasiliane na Dr. Yongolo hapo Regents Hospita na hizo hela uzichangie kwenye Foundation ya Sikonge na nina imani hata ukimpa tu mwenye mkononi, basi atatufikishia.

Laki tatu tu(300,000.00) njoo uchukue lakini hakikisha zimefika sikonge.
 
Sometimes ni vizuri kuliangalia jambo kama lilivo na usiende beyond.... Umeona Mazingira ilipopelekwa ni dhahiri kua hio comp labda ndo mwanzo... Hata wakipeleka Mackintosh hapo inakua haina maana, bora nyiingi kwa bei nafuu... Mradi ziwe na ubora...

The point here ni kuzuia Tanzania kuwa dampo la vitu kama hivyo vilivyozeeka. Hivi vitu kama desktop ni bei rahisi sana especially kwa mtu kama mbunge ambaye anahitaji ku-give back to the community. Huo ni udhalilishaji kweli.
 
Ni bora huyu aliyekumbuka jimboni kwao kuliko wale hata kuja kuwatembelea wapiga kura wao ni issu ila next time aangalie vitu vinavyokwenda na wakati

No excuse hapa. Ni bora uninyime kitu kuliko kunipa kitu ambacho najua ni takataka. Kitu kikikorofisha hapo..that is it, no part au mama yake part......dawa yake ni kutupa. utapeleka dampo la wapi? Maana tayari life expectancy ilishapungua hata kabla zawadi haijatolewa.
 
Kutoa msaada kuna ubaya gani?

Hakuna ubaya kutoa msaada, ila huo msaada uende na wakati. Kwa kuwa ni msaada Tanzania iko tayari kupokea mitambo ya zamani ya kuongoza ndege ambayo haina spare parts? Hata haiwezi ku-detect new model such as B-50!!
 
Tatizo hapo sio computer kuwa ya zamani... Tatizo linakuja hii computer inapelekwa sehemu umeme pia utata.. Kengine watumiaji elimu ya utumiaji ipo au ndio wamekalia sehemu kama wazee wa kijiji bado utawala ni wao tu? Hizi ndio tabia za mnapewa computer yenyewe baada mwaka imeharibika.... Huyo huyo mbunge sababu wanajuwa anarudi mjini basi gari zima nyuma litajaa mazao mikungu ya ndizi,nyanya, mazao kibao wakati walimaji hawapati kitu wananchi wanaumia na njaa. Elimu hawapewi watoto na kuoneshwa njia ya maendeleo.
 
Jamanai msimlaumu Makalla, kwani hata kutuma mail hawezi, atajulia wapi ubora wa computer?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom