Huku si ku-promote USHOGA?

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
7,509
7,532
jana nilisikia tangazo moja la burudani katika moja ya club hapa dsm redioni ambapo msoma tangazo anasema ''njoo ulione lile dume-dada likiungana na wadada wa khanga moko...'' hiyo ikiwa ni baada ya kutaja wasanii wengine. mimi naona hii haiko poa ukizingatia kuwa redio inasikilizwa na watu wengi. inaweza kupelekea hii hali kuonekana ya kawaida ingawa wapo watu wanaopenda kwenda kuona vitu hivyo lakini si vizuri kuwashawishi kwa kutumia matangazo redioni!
 
Mtangazaji yeye anahitaji watu wajae apate pesa bila kujali madhara ya vitendo vyake. Anataka aitwe DJ mkali.
 
redio kbao sasa wanatangaza mambo yasiyo ya mhimu ushenz mtupu wakati Taifa linakufa na njaa na watu wanamaisha magumu yasiyo na mafanikio
 
jana nilisikia tangazo moja la burudani katika moja ya club hapa dsm redioni ambapo msoma tangazo anasema ''njoo ulione lile dume-dada likiungana na wadada wa khanga moko...'' hiyo ikiwa ni baada ya kutaja wasanii wengine. mimi naona hii haiko poa ukizingatia kuwa redio inasikilizwa na watu wengi. inaweza kupelekea hii hali kuonekana ya kawaida ingawa wapo watu wanaopenda kwenda kuona vitu hivyo lakini si vizuri kuwashawishi kwa kutumia matangazo redioni!
Ndugu yangu amini usiamini mambo hayo yana wapenzi wake! Ni aibu, ni laana, lakini habari ndio hio! Wakati Kauli ya Waziri Mkuu wa Uingereza kuwataka wanaume nao waolewe kuna walioshangilia uamuzi huo! Ni bahati mbaya masikio si kama macho, Huwezi kufunga masikio kama vile ufumbavyo macho ukiona kisichokupendeza. Ukifunga masikio tayari ule ujumbe umekufika!
 
Back
Top Bottom