Huku ni kuchoka kwa ccm au fikira za wafuasi?

bysange

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
4,456
1,563
Juzi ijumaa ni meshangazwa na wanaccm kwa ulitoke msiba wa mmoja wa wanachama ambaye hana cheo chochote ktk chama lakini cha ajabu alizikwa kwa kutumia BENDERA ya chama.
je chama kimechoka hivyo kutoa hesima kwa kila mmoja?
je fikira na uamuzi wa chama|wanaccm ni mgando?
je chama hakina washauri wa kufaa?
je kwanini msijiulize kwa CHD ilimpate kujua vizuri?
Wanajf huduma ya scaning ingekuwepo ninge wawekea mjionee wenyewe.
je hii imekaa vp wenzetu ccn aah ni ccm?
 
JK hakuhudhuria? Maana ndio kazi za maendeeleo aliyopewa kufanya miaka hii mitano...................
 
Back
Top Bottom