Huku kote chadema ilipitia na bado kipo imara sembuse wakina tuntemeke

Wanajf nimejaribu kuperusi baadhi ya thread ambazo zilileta mijadala mikali enzi hizo kuhusu CDM nimegundua Chama kimepitia changamoto kadhaa na huu ni moja ya uzi ulizua mjadala mkali sana hapa miaka hiyo. jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/8408-kabwe-vs-wangwe-kisa-cha-mafahali-wawili-11.html#post117192

Weka link mkuu
 
Back
Top Bottom