Huko Masasi-mti unapolionea jiwe!!

Majoja

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
612
186
Wandugu nilikuta hii katika tembea tembea zangu huko Masasi(Masasi-Mangaka rd.)
Mti huu unelekea kulionea sana hilo jiwe.Wakati wa kiangazi mti unapukutisha majani yote na kuchipua tena wakati wa mvua.
Masikini jiwe hana la kusema.
Na hebu litazame vizuri hilo jiwe juu, na utaona kichwa cha mamba-no fotoduka here!! Masasi trip August 009.JPG
 
Nimeipenda hii picha mkuu....TZ tuna vivutio vingi sana aisee! Hongera kwa kufanya utalii wa ndani!
 
Mungu ametujaalia vivutio ving sana. Tunashndwa kuviendeleza.
Kule kwe2 kuna bwawa linatotoa moshi linaitwa Ndiva Ye Fuka i.e Bwawa linalotoa Mosh.
Ni kivutio kizur ila tunalia umaskini.
Aibu yetu.
 
Mungu ametujaalia vivutio ving sana. Tunashndwa kuviendeleza.
Kule kwe2 kuna bwawa linatotoa moshi linaitwa Ndiva Ye Fuka i.e Bwawa linalotoa Mosh.
Ni kivutio kizur ila tunalia umaskini.
Aibu yetu.
Kama picha unazo tupostie tu mzee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom