Huko kwengineko

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
WAZEE wa bodaboda kazi kwenu msimu huu wa mvua
kioja.jpg
 
Spot the unsafe act:
Huyo passenger akiwa epileptic kose fresh air
Huyo mwendeshaju akizimia kwa kukosa fresh air
Hiyo polythene ikimziwia kuona anaho elekea
Hiyo polythene ikimziwia kusikia honi za wengine
Polythene ikiruka kwa upupo na kudema kwenye gari nyuma
...

Ndo mambo yenyewe si ajabu siku mbili tatu zijazo ukakutana nazo live barabarani hapa bongo, maana wa bongo kwa kuiga hawa jambo.
 
Back
Top Bottom