Hujuma nzito ndani ya makampuni ya simu

manchester

Member
Sep 3, 2010
54
3
Kila Mtanzania anayepiga simu mtandao wowote, asilimia kumi (10%) ya huo muda wa maongezi, fedha hizo zinaenda kuchangia Kampeni za CCM. Kudhihirisha hili, mtu yeyote mwenye simu, chukua simu yako, nenda kwenye sehumu ya kuandika ujumbe mfupi (SMS); kisha andika neno "HAPANA" na tuma ujumbe huo kwenda namba "15016." Utapokea ujumbe huu "Asante kwa ujumbe wako, utatolewa kwenye huduma hii ya changia ushinde na CCM."Hii ni hujuma tunayofanyiwa watumiaji wa huduma za mawasiliano bila ridhaa yetu au kujulishwa hivyo na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Kesho yake, October 14,2010, nadhani baada ya wahusika kushtukia idadi ya watu watu wanaojiondoa kwenye huduma hii; na nilipokuwa najiondoa kwenye hujuma hii kwa kutumia lini yangu ya Zain & Zantel, nilipokea ujumbe huu "Asante kwa ujembe wako kama umeshiriki Changia ushinde utaondolewa kwenye huduma. Kumbuka hakuna malipo kutumia mtandao wa mawasiliano wa CCM." Ujumbe huu wa pili nauona kama ujanja wa kuwapumbaza watu kwani mantiki yake imevurugwa kwa maksudi. Hata hivyo cha msingi hapa tusiangalie nyuma, tumeshahujumiwa, dawa ni kujiondoa maana kujiondoa kwenye hujuma hii ni bure. Mjulishe ndugu na rafiki yako tafadhali.
 
nimejaribu naona si kweli hakuna jambo kama hilo kuandika neno hapana kwenda namba ya simu 15016
 
Mh hii kali! Waturudishie pesa zetu kama kweli wamekata bila idhini yetu
 
Duh! Tumekwisha. hivi sisiem kwa nini wanatufanyia umafia jamani? Wao ni nani katika nchi hii? Ngoja tutakutana tarehe 31 okt.
 
Kila Mtanzania anayepiga simu mtandao wowote, asilimia kumi (10%) ya huo muda wa maongezi, fedha hizo zinaenda kuchangia Kampeni za CCM. Kudhihirisha hili, mtu yeyote mwenye simu, chukua simu yako, nenda kwenye sehumu ya kuandika ujumbe mfupi (SMS); kisha andika neno "HAPANA" na tuma ujumbe huo kwenda namba "15016." Utapokea ujumbe huu "Asante kwa ujumbe wako, utatolewa kwenye huduma hii ya changia ushinde na CCM."Hii ni hujuma tunayofanyiwa watumiaji wa huduma za mawasiliano bila ridhaa yetu au kujulishwa hivyo na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Kesho yake, October 14,2010, nadhani baada ya wahusika kushtukia idadi ya watu watu wanaojiondoa kwenye huduma hii; na nilipokuwa najiondoa kwenye hujuma hii kwa kutumia lini yangu ya Zain & Zantel, nilipokea ujumbe huu "Asante kwa ujembe wako kama umeshiriki Changia ushinde utaondolewa kwenye huduma. Kumbuka hakuna malipo kutumia mtandao wa mawasiliano wa CCM." Ujumbe huu wa pili nauona kama ujanja wa kuwapumbaza watu kwani mantiki yake imevurugwa kwa maksudi. Hata hivyo cha msingi hapa tusiangalie nyuma, tumeshahujumiwa, dawa ni kujiondoa maana kujiondoa kwenye hujuma hii ni bure. Mjulishe ndugu na rafiki yako tafadhali.
Nimejarribu na ujumbe huu ukanijia right now.....!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
nimejaribu naona si kweli hakuna jambo kama hilo kuandika neno hapana kwenda namba ya simu 15016

ni kweli hata mimi nilikuwa nashangaa hela zangu zinakatwa kiholela. Na nilipotuma neno hilo nilipokwa ujumbe huo.naomba waandishi wa habari wafuatilie habari hizi. Na wazalendo waliopo katika makapmuuni hayo tujuzeni haya mambo.
 
nimejaribu naona si kweli hakuna jambo kama hilo kuandika neno hapana kwenda namba ya simu 15016
Ni ukweli kiongozi tumia herufi kubwa . Mie pia kwanza ilinigomea mara ya pili imekubari baada ya kuweka herufi kubwa.
 
Kila Mtanzania anayepiga simu mtandao wowote, asilimia kumi (10%) ya huo muda wa maongezi, fedha hizo zinaenda kuchangia Kampeni za CCM. Kudhihirisha hili, mtu yeyote mwenye simu, chukua simu yako, nenda kwenye sehumu ya kuandika ujumbe mfupi (SMS); kisha andika neno "HAPANA" na tuma ujumbe huo kwenda namba "15016." Utapokea ujumbe huu “Asante kwa ujumbe wako, utatolewa kwenye huduma hii ya changia ushinde na CCM.”Hii ni hujuma tunayofanyiwa watumiaji wa huduma za mawasiliano bila ridhaa yetu au kujulishwa hivyo na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Kesho yake, October 14,2010, nadhani baada ya wahusika kushtukia idadi ya watu watu wanaojiondoa kwenye huduma hii; na nilipokuwa najiondoa kwenye hujuma hii kwa kutumia lini yangu ya Zain & Zantel, nilipokea ujumbe huu “Asante kwa ujembe wako kama umeshiriki Changia ushinde utaondolewa kwenye huduma. Kumbuka hakuna malipo kutumia mtandao wa mawasiliano wa CCM.” Ujumbe huu wa pili nauona kama ujanja wa kuwapumbaza watu kwani mantiki yake imevurugwa kwa maksudi. Hata hivyo cha msingi hapa tusiangalie nyuma, tumeshahujumiwa, dawa ni kujiondoa maana kujiondoa kwenye hujuma hii ni bure. Mjulishe ndugu na rafiki yako tafadhali.

MKUU Manchester,

Ubarikiwe, umetuokoa na unyonyaji huu. Kwa takribani juma moja sasa nimejikuta matumizi yangu kwenye line ya tigo yako juu mno, hata nikiongea sekunde 30 lakini baada ya muda kupita naangalia salio nakuta kumeondolewa takribani 1,000/= nilipowaeleza watu wa tigo wakadai yawezekana nilijiunga na kwenye bahati nasibu kitu ambacho hakipo kwangu.

Nimefuata maelekezo yako na kupata ujumbe huo wa pili tena kwa line zangu zote, tigo na zain.
 
nimejaribu naona si kweli hakuna jambo kama hilo kuandika neno hapana kwenda namba ya simu 15016

Lipo!!! Nimejaribu sasa hivi na nimepokea same msg kama ilivyoripotiwa juu.. Nafuatilia kwa karibu nikijua nimefanyiwa hujuma hii watantambua!!! Pesa wanazokwapua serikalini haziwatoshi hadi wameamua kutuibia kihuni... Snzy zao..
 
[font=&quot]kila mtanzania anayepiga simu mtandao wowote, asilimia kumi (10%) ya huo muda wa maongezi, fedha hizo zinaenda kuchangia kampeni za ccm. Kudhihirisha hili, mtu yeyote mwenye simu, chukua simu yako, nenda kwenye sehumu ya kuandika ujumbe mfupi (sms); kisha andika neno "hapana" na tuma ujumbe huo kwenda namba "15016." utapokea ujumbe huu “[/font][font=&quot]asante[/font][font=&quot] kwa ujumbe wako, utatolewa kwenye huduma hii ya changia ushinde na ccm.”[/font][font=&quot]hii ni hujuma tunayofanyiwa watumiaji wa huduma za mawasiliano bila ridhaa yetu au kujulishwa hivyo na mamlaka ya mawasiliano tanzania (tcra).[/font]

[font=&quot]kesho yake, [/font][font=&quot]october 14,2010[/font][font=&quot], [/font][font=&quot] [/font][font=&quot]nadhani baada ya wahusika kushtukia idadi ya watu watu wanaojiondoa kwenye huduma hii; na nilipokuwa najiondoa kwenye hujuma hii kwa kutumia lini yangu ya zain & zantel, nilipokea ujumbe huu “[/font][font=&quot]asante[/font][font=&quot] kwa ujembe wako [/font][font=&quot]kama[/font][font=&quot] umeshiriki changia ushinde utaondolewa kwenye huduma. Kumbuka hakuna malipo kutumia mtandao wa mawasiliano wa ccm.” ujumbe huu wa pili nauona [/font][font=&quot]kama[/font][font=&quot] ujanja wa kuwapumbaza watu kwani mantiki yake imevurugwa kwa maksudi. Hata hivyo cha msingi hapa tusiangalie nyuma, tumeshahujumiwa, dawa ni kujiondoa maana kujiondoa kwenye hujuma hii ni bure. Mjulishe ndugu na rafiki yako tafadhali. [/font][font=&quot][/font]
ahsante sana
 
Ni kweli nami nimejaribu kupitia namba ya ZAIN na nimepata ujumbe huo!!!!! Mwisho wa yote ni 31/10 kwisha habari yao.
 
Duh kwa kweli hali mbaya sana, lakini malipo hapa hapa duniani na kisha hukumu zitatungojea ksho mbinguni.
 
nimetuma kwa herufi kubwa neno HAPANA na nimejibiwa "Asante kwa ujumbe wako kama umeshiriki Changia ushinde utaondolewa kwenye huduma kumbuka hakuna malipo kutumia mtandao wa mawasiliano wa CCM" Cha kushangaza ni kwamba sijawahi kujiunga na hawa jamaa. Anyway sikuwa nafuatilia matumizi ya simu zangu inawezekana wakawa walikuwa wanakata juu kwa juu, ila uzuri ni kwamba siku zimeisha na ntaenda niwaadhibu kwenye kisanduku cha kura kwa mambo maovu wanayoendelea kututendea.
 
jamani tutawachukuliaje atua hawa wenye makampuni ya cm awawezi kutuibia hivi mchana kweupe
 
Duh bongo tambarare jamaa wanajichukulia hela zao. Makampuni yenyewe tutakuta vigogo wanamegashare.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom