lengo la chadema sio kuwa chama kikuu cha upinzani, bali ni kuwa chama tawala, mbona bado mmelala hivyo jamani???:A S angry:
No Lyatonga ameenda kuboresha afya we huoni alivyochakachuka mwenyewe? hana hata nguvu sasa hivi ila akiingia mjengoni atapata hata hela ya supu na kisusio.
Nilikuwa najaribu kujiuliza kwanini kuanzia jana mchana mapambano ya kulazimisha ushindi kwa CCM na hasa kuwanyima Chadema ushindi wao hasa katika majimbo ya Segerea, Kigoma Mjini, Karagwe, NGara, n.k
kumbe sasa hivi Chadema na CUF wana jumla ya viti vya ubunge 24 (CUF wana viti 22 kutoka Zanzibar na 2 kutoka Bara). Iwapo chadema watapata angalau kiti kimoja tu cha ubunge basi wanahakikishiwa kuwa chama kikuu cha upinzani bungeni. Kwa CCM hii ni hatari na hasa ni hatari zaid kwa mafisadi.
kwa matiki hii, usishangae CCM wakawa tayari kumwaga damu ili kuhakikisha chadema hawapati kiti kingine cha ubunge.
We nawe kwa akili yako ya kawaida unategemea majimbo gani huku bara Lipumba atamzidi Slaa, hapa tunaongelea upinzani mkali ni kati ya Kikwete na Slaa na si Lipumba na Slaa.
pemba kuna majimbo 2 wetemjini na junguni ambayo yote niya cuf,na unguja lipo 1 nimelisahau jina ila hatahilo ningome kuu ya cuf, cuf ataongeza majimbo3 atakua na 27.Pemba pia kuna majimbo ya cuf ambayo bado, ni yapi hayo?
wacha umbumbumbu wa kisiasa wewe kama hujui siasa kaapembeni,cuf inauzoefu wa siasa kwa miaka24 chadema yako unayoipenda imevuma miaka2 nahawana lolote zaid yaukanda nauchaga kwanza mengine badae,cuf itakua namakamo warais namawazir na manaib wazir namakatibu wakuu wawizara huko zenj nahapa bara itakua kiongoz wa upinzani bungen,kama una wivu na cuf nenda kajinyonge,ccm wenyewe wanaitambua cuf inatisha,hata makamba kabla ya uchaguz alisema wanaiogopa cuf na lipumba ndio anawatisha,yule mzee anajuasiasa sio wewe unaeropoka tuKwa hiyo uko tayari kuona ccm wanatimiza lengo lao la kuifanya cuf isimamie hoja za upinzani bungeni??? For your information mimi nafuata nyayo za baregu na marando ambao hawajawahi kuwa wanachama au mashabiki wa ccm maisha yao yote!!! Nachukia sana mafisadi, naichukia sana ccm. CUF hawana msimamo wala hawatishi bungeni
hivi wanaoipenda ccm ni watz?
Pia kuna majimbo ambayo kura za wabunge bado kupigwa. Anaeyafahamu atuorozeshee hapa.
kwa petition ipi???Polepole watu wanaanza kuyakubali matokeo!
hivi wanaoipenda ccm ni watz?
CUF +NCCR +TLP +UDP wataungana kuunda serikali ya upinzani bungeni.