Huju ni M Tanzania anaye itwa kwa jina la Sudi Mkaazi wa Zanzibar anaumwa maradhi ya akili (Wendawaz

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
532975_376443395751075_4352481_n.jpg



Huju ni M Tanzania anayeitwa kwa jina la Sudi Mkaazi wa Zanzibar anaumwa maradhi ya akili (Wendawazimu) haya tena kama kuna mtu anamjuwa amtafute anaishi mjini istanbul nchini Uturuki.......................
 
418186_203671493065816_133199265_n.jpg


Hizi ni baadhi ya vituko vyake anavyofanya mjini istanbul nimepata kwenye picha zake kwenye facebook Eee Mwenyeezi Mungu mponeshe SUDI.................... Hapa ana Acting kama Sanamu la Michellin........................
 
416813_203670536399245_1083128396_n.jpg


Kasimama juu ya sehemu ya kutupa takataka za Mji hapa ni istanbul Turkey huyo ni SUDI Wa Lonjo Au wanamuita SUDI MNYAMWEZI.............
 
Hivi ana kibali cha kukaa huko Uturuki? Alienda kufanya nini kule au ndiyo wale waunga? Serikali ya Uturuki haifanyi kazi yake kwani kwa kuwa si raia wao walitakiwa wawasiliana na ubalozi ili waone namna ya kumrejesha Tanzania. Kweli hii ni hatari sana. Ila nasikia uturuki si kuna jumuiya ya Watanzania? Kiongozi na wanajumuia wanasemaje?
 
Back
Top Bottom