Hujafa Hujaumbika...!

Too bad to tell you guys that this driver has finally responded to natural selection laws!
Nimepata habari jana saa 6mchana kwamba amefariki na kuachana moja kwa moja na taabu, mateso, dhiki, matatizo, vioja, vibweka, shida na magonjwa ya dunia hii!
May his soul RIP.
Mipango ya mazishi inafanyika Arusha, then mwili utasafirishwa kesho alhamisi kwa ndege ya TANAPA kuelelea kwao Mbeya!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom