'Huge' water resource exists under Africa

Nonda

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
13,358
4,304
Baada ya "laana" ya mafuta, tunaongezewa na "laana" ya maji.
Wacha majambazi waliite bara hili,bara letu.."dark continent".

Scientists say the notoriously dry continent of Africa is sitting on a vast reservoir of groundwater.

They argue that the total volume of water in aquifers underground is 100 times the amount found on the surface.

Zaidi hapa BBC News - 'Huge' water resource exists under Africa
 
so what? watakuaj watasema mafuta dhahabu etc

Wewe nae huwa hueleweki, dhahabu na maji wapi na wapi?

Vipi wabunge wwaliojiuzulu kupitia kwako? ulileta udaku, nilivyokuambia peleka hiyo mada kwenye udaku ukaleta ujinga, eti "confirmed". Hiyo confirmation yako iko wapi?
 
Naona tutageuka kama middle east kwa kuwa bombed, siku hizi wazungu wanataka wageuze maji kama mafuta na kuanza kutuuzia. makampuni makubwa kama suez na veolia yananunua maji na kuuzia watu. just imagine maji lita moja ni bei kuliko coca lita moja, huko bolivia kampuni ilinunua maji hadi ya mvua yaani watu hawakuruhusiwa kuchota maji ya mvua! sasa watakuja kuyafuata haya ya africa.
 
Back
Top Bottom