Hufurahi niwe namfulia nguo zake za ndani. ananitisha!

kufuliana kupo na ni mambo ya kawaida sana. kwenye ndoa hakuna kuonana aibu wala kufanyana mabwege, unless umepassive vitu wrongly. Mi am oke with everithing if he's oke tu
 
Haya mambo yakutojua hata nini cha kufanya katika privacy zenu na kuomba ushauri duh! Sasa wakikuambia umerogwa na wewe utaamini.

Not my level!
Samahani kwa kukukwaza mkuu. Ila nilishasema hapo awali kuwa "...Ni katika kubadilishana mawazo juu ya haya mahusiano.."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom