Huenda yaliyomkuta babu seya yakamtokea dimond!

[/COLOR]Hahahahhahahahhh!! jamani humu mtu hata kama mtu una matatizo utayasahau tu.... mi nacheka saaaanaaa!!
Suwi hichi ni kiswahili fasaha kabisa cha pwani ya afrika mashariki unaulizwa 'unakalia wapi' ? wakimaanisha unaishi wapi, sasa labda hilo neno Kigogo ndio linaharibu maana.
 
Yani hapa duniani ukitaka kuwa famous wa mziki lazima mbao ni wa lazima ufuate nyayo za kanye,lil w,jay z nk hapo nyota yako itang'aa tofauti na hapo utajulikana ndani ya ukoo wenu tu.
 
Umeshasema wanashea kabila na mama yake Dimond, labda walienda kumsalimia tu?
Suport madam t,au labda ni ndugu yake kwani ni zambi kuwa na ndugu mganga,au labda ni baba yake mpz wa mama yake?kasafishe na ww nyota uimbe tukusikia
 
katika dunia na karne hii kuna watu wanaamini mambo ya kung'arisha nyota ? ulivyoongea inaonyesha nawe umeamini ujinga huu,kama kweli anaweza huyo mganga angeng'arisha zake na kuhama huko anakokalia Kigogo kwa nyuma.
Uporoto1 unataka ahamie unakaa nyagwa?
 
Suwi hichi ni kiswahili fasaha kabisa cha pwani ya afrika mashariki unaulizwa 'unakalia wapi' ? wakimaanisha unaishi wapi, sasa labda hilo neno Kigogo ndio linaharibu maana.
Tena umkute mtu wa Tanga mwenye kiswahili chaTanga halafu anaishi Dsm umuulize aiseee chali yangu unakalia wapi wewe kisha akujibu nakalia Kigogo miye si ndiyo utapagawa na kuanza kumuangalia tokea juu mpaka chini.
 
Wakuu mimi naishi kigogo mkwajuni hapa kuna babu mmoja ambaye ni mganga na husifika kwa kung'arisha nyota! Inadaiwa kuwa huyu babu ni kabila moja na mama ake dimond na mara ya kwanza nilimuona daimond na mama yake jioni wakielekea kwake.Juzi kati nikashangaa tena kumwona wema mbali kidogo na kwa yule babu kumbe alikuwa anamngojea dimond ambae kwa wakati huo alikuwa anang'arishiwa nyota yake! Wasiwasi wangu ni kuwa hunda yaliyomkuta babu seya yakamkuta dimond kwani hawa wa ganga mara nyingi huwa wana masharti magumu sana.Babu seya walimpa sharti la kulawiti watoto ili azidi kuwika sasa daimond sijui hajajifunza.
na wewe unajiita great thinker ****
 
Back
Top Bottom