"Huenda Mwandishi Daud Mwangosi alitumwa awalipue Polisi kwa bomu (Kujitoa mhanga)"

yaani Polisi wamenifanya niwachukie sana.............. TENA WASIROGWE KUNIOMBA LIFT KWENYE KIGARI CHANGU....

SITAKI HATA KUWASIKIA ........................... WAKATILI, WAUWAJI WAKUBWA ............ MBONA SURA ZAO HAPO ZIKO WAZI??? HAWAKUJUA WANAPIGWA PICHA EEEEEEEE ........... JAMANI WAANDISHI WA HABARI .....WEKENI PICHA HII KWENYE MAGAZETI TENA IN BOLD AND COLOUR .....WATANZANIA WOTE WAWAONE NA KUWAJUA SURA ZAO

NA VYOMBO VYA HABARI PIA ............MA-TVs HAPA NCHINI NA NJE YA NCHI ...........NDIO WALIDHANI SIRI???? :mad2:
 
Kumbe siku hizi kuna watu wajinga sana kiasi hiki wanasoma sheria UDSM!!
Huyo dogo amekuwa akituhumiwa na wanaccm wenzake kwamba anatumiwa na rizimoko,kwa utumbo huu alioandika naamini hata wanaccm wenzake watakuwa wametetemeka walipousoma.

Haya ndio madhara ya kushikiwa akili, kwa tamaa ya kuendelea kuishi kimjinimjini badala ya kutumia taaluma yake na kuchapa kazi. Hata wazazi wake(kama wapo) wakiisoma hiyo taarifa watajilaumu kwa kuzaa na kusomesha toto jinga kama hilo.
 
yaani tutaskia mengi zaidi ya haya marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa tumbo ndo maana tumbo likafumuka yani ccm ni vilaza mpaka basi alafu serikali inakuambia imeunda tume ya uchunguzi halafu kitendo wamefanya wao yaani wanajichunguza wenyewe
 
Ndugu kwa taarifa kuna aina mbili za mabomu ya machozi la kurusha na mkono ambalo hucholewa fuse na kurushwa hili halina madhara kwa mwanadamu zaidi ya moshi wake la pili ni bomu ambalo hurushwa kwa kutumia Anti Riot Gun hili huwa linaenda mbali na kwa kasi hivyo endapo mpiga atamuelekezea mtu ambaye yupo karibu nae huweza kumsambarati vipande vipande ila haliwezi kumdhuru mtu wa pembeni/jirana zaidi ya alielekezewa.
Hili ndio lililommaliza Daud...
 
Moderator naomba muiondowe hii thread kwa Faida ya afya za Members wa JF, Vingine mnavyoviachia havijadiliki kamwe na hata kichaa hawezi kuonge Usengge kama huu. Pls naomba hii thread ifutwe, tutakoelekea sasa tutakuwa Suicide bombers wa kweli maana naona tunachokozwa hata pale tulipoamuwa kukaa kimya.
 
Hana tofauti na huyu

556418_284305885008451_561581246_n.jpg
 
HOJA HII NI YA KIPUMBAVU? NATUMAI UYU ***** HAJUI MAANA YA BOMU, BOMU LILIPUKE NDO LIMUUE MTU MMOJA?? THATs WHY I WILL ALWAYS HATE CCM, NA HII INAZIDI KUTUFANYA WATANZANIA TUZIDI KUICHUKIA CCM.

very weak reasoning
 
Hili ndio lililommaliza Daud...

Lilimlenga Daudi na waandishi wa habari wengine watakao Tangaza matukio ya Chadema in a positive way. Waandishi wa habari wajifunze kutoka kwa waandishi wenzao wa Habari leo, Michuzi blog, nk
 
Kumbe siku hizi kuna watu wajinga sana kiasi hiki wanasoma sheria UDSM!!
Huyo dogo amekuwa akituhumiwa na wanaccm wenzake kwamba anatumiwa na rizimoko,kwa utumbo huu alioandika naamini hata wanaccm wenzake watakuwa wametetemeka walipousoma.

Haya ndio madhara ya kushikiwa akili, kwa tamaa ya kuendelea kuishi kimjinimjini badala ya kutumia taaluma yake na kuchapa kazi. Hata wazazi wake(kama wapo) wakiisoma hiyo taarifa watajilaumu kwa kuzaa na kusomesha toto jinga kama hilo.

hivi wewe sio kiongozi wa cdm wewe.?
Kama ndivo mbona una lugha za hovyo namna hio,huh?
 
kwa ujinga kama huu huyu mimi naona Anyongwe hadharani kabisa kwa kutokuwa hata na chembe ya huruma.
 
Mambo ya facebook yaishie hukohuko facebook. Mods naomba hii kitu iondoke hapa.
SIJAWAHI KUPATA BAN LAKINI UWEPO WA HII KITU UTANISABABISHIA BAN NA HUENDA NDO IKAWA MWISHO WANGU WA KUWA MEMBER WA JF.

PLEEEASE MODS!
 
Mtu kafa mwingine anakuja na hypothesis asizoweza kujengea hoja ziwe theory...kushabikia kitu kama hiki kinaweza kabisa kukufanya usiwe mwanasiasa maana kinaumiza mioyo ya wapiga kura.
 
Hawa vijana wanasoma ili wawe na educated minds au wanadandia treni la kupata uongozi kwa kushabikia siasa za maji taka?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom