"Huenda Mwandishi Daud Mwangosi alitumwa awalipue Polisi kwa bomu (Kujitoa mhanga)"

Hii nimeiona imepostiwa na mwana CCM Mjumbe wa NEC mwenye dream za kuja kuwa kiongozi wa Nchi hii.



MWANDISHI ALIPEWA BOMU AKALIPUE??

(1)-MWANDISHI MWENZIE ASEMA marehemu alikuwa anasoma kitabu cha maadili ya waandishi kabla ya tukio jambo ambalo si kawaida,

(2)-Alionekana kuwa na wasiwasi na mgogoro wa nafsi kabla ya kwenda katika tukio.

(3)-Bila kujali vurugu wala bila hofu alikuwa anaelekea mahali polisi walipokusanyika.

(4)-Alipovamia kundi la polisi kabla hajafanya chochote polisi wakamuwahi wakawa wanamzuai.

(5)-Akawa analazimisha kwenda alipo mkuu wa kituo wa polisi OCS.
... (6)-Wakati polisi wanakabiliana nae akaangukia tumbo.

(7)-Mlipuko mkubwa ukasikika na kufumua utumbo na kujeruhi polisi kadhaa akiwemo mkuu wao.

(8)-Huenda alikuwa na bomu aliloficha ndani ya shati.

(9)-Hakudhamiria kujiua, huenda alitumwa kulidondosha katikati ya polisi.Lakini kwa bahati mbaya akadondoka,bomu likamlipukia kabla hajalitoa.

HUENDA ALITUMIWA, AKAWALIPUE POLIS

369213_100000876702057_873153215_n.jpg



Ally Salum Hapi

MKT WA CCM (UDSM),MJUMBE WA BARAZA KUU LA SHIRIKISHO LA CCM MKOA WA DSM


University of Dar es Salaam
Class of 2007 · L.L.B. · Bachelor of Laws · Staying Focused
A graduate of LL.B(horns),University of Dar es salaam.

My Take:
Huyu na yeye anajiita ni Msomi.

vurugu za kuutafuta U-DC, hawana jipya hawa.
 
HOJA HII NI YA KIPUMBAVU? NATUMAI UYU ***** HAJUI MAANA YA BOMU, BOMU LILIPUKE NDO LIMUUE MTU MMOJA?? THATs WHY I WILL ALWAYS HATE CCM, NA HII INAZIDI KUTUFANYA WATANZANIA TUZIDI KUICHUKIA CCM.
 
Hii nchi inakera sasa,mjitu unayotegemea ndo inajua ukweli bahati mbya ndo mijinga kuliko..
 
Hili dogo ni nafiki sana nakumbuka chuo lilikosa suport lilipoonekana na kugundulika kuwa na uvccm
 
Hii nchi imefikia pabaya sasa. Mimi najiuliza kama mawazo ya huyo ni sawa je mwandishi kalipata wapi bomu? maana silaha zinakuwa kwa maaskari tu. Kweli watanzania wangekuwa na access na silaha si pangechimbika kwa staili hii? Watu wengine bwana wanataka kuiharibia Serikali na CCM zaidi badala ya kujaribu kuinusuru.
 
Msomi gani asiye uwezo wa kujenga hoja? Labda awe msomi wa chupi.

Hahahhahaa mkuu umenichekesha! kumbe mpaka wanaume wanadegree za chupi!!

Kwa hiyo huyu mshikaji wali mcameroon kabla ya kumpa degree..duuuuu!!! ndio maana anajichubua.
 
Ndibalema
Mheshimiwa mmoja anayetoka jimbo moja mkoani Iringa AMABAYE NI WAZIRI WA WIZARA NYETI ya utawala bora na mambo ya bunge inasadikika alipanga mikakati kuhahakikisha CHADEMA hawamwagi sumu jimboni mwake kupitia kwa kamanda WA POLISI mkoa wa Iringa. SOURCES ktk kwa mtu mmoja serikalini. na huu ni mkakati maalumu kuudhofisha CDM.
 
Last edited by a moderator:
Hivi bomu la machozi linaweza kumsambaratisha binadamu?

Ndugu kwa taarifa kuna aina mbili za mabomu ya machozi la kurusha na mkono ambalo hucholewa fuse na kurushwa hili halina madhara kwa mwanadamu zaidi ya moshi wake la pili ni bomu ambalo hurushwa kwa kutumia Anti Riot Gun hili huwa linaenda mbali na kwa kasi hivyo endapo mpiga atamuelekezea mtu ambaye yupo karibu nae huweza kumsambarati vipande vipande ila haliwezi kumdhuru mtu wa pembeni/jirana zaidi ya alielekezewa.
 
Hivi bomu la machozi linaweza kumsambaratisha binadamu?

ww wa wapi nimeshuhudia bomu la machozi kwa macho yangu nikiwa mlimani chuo kikuu likimtoboa mwawanafunzi mgongoni pamoja na kuwa lilirushwa umbali kama wa mita 400
 
this is unbelievable.... If one ever contemplated killing, this is a good subject for the test, dogo huyu wa CCM anahitaji ulinzi kwani anacheza na sensitive matter in a a very light way!! asidhani kila kitu ni political debate

huu ni upuuzu' wanafkr wanaongoz wenda wazmu, shem of them
 
ati msomo wa law! ati udsm ndo no 1 university! kweli ndo inatowa makalio kama hawa, huyu jamaa naomba apokee matusi yote anayoyafahamu hapa duniani kutoka kwangu.
 
this is unbelievable.... If one ever contemplated killing, this is a good subject for the test, dogo huyu wa CCM anahitaji ulinzi kwani anacheza na sensitive matter in a a very light way!! asidhani kila kitu ni political debate

huu ni upuuzu' wanafkr wanaongoz wenda wazmu, shem of them..
 
Katika gazeti la leo la mwananchi mh. Nchimbi kadhibitisha kuwa bomu ili limepigwa na askari polisi lakini kwa kutumia utaalam mkubwa,
kwa hili sasa inaonekana hata yeye kachoka kusema uongo mara kwa mara kuinusuru ccm. Kwani ni uyu uyu mheshimiwa alodai alli alofariki morogoro alikuwa mita 300 toka eneo la maandamano ya cdm iyo ikapeleke awe kiroja
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom