Huduma za usafiri zimesimama mjini Songea

Haliali

JF-Expert Member
Oct 1, 2012
574
263
[h=5]Huduma za usafiri zimesimama mjini Songea kufuatia kukosekana kwa Petrol na Disel katika vituo vya uuzaji mafuta hayo kwa madai kuwa wameishiwa[/h]
source ITV
 
Mpwapwa nako hakuna kitu siku ya tano leo. Magendo ni 4000/- kwa lita
 
hii ndiyo tanzania, na hakuna action yoyote itakayo chukuliwa, hahahaaaaa, I LIKE MY TANZANIA
 
Waagizaji na wauzaji wako Dodoma na Ridhiwani katika uchaguzi wa jumuiya za CCM.......NGOJENI WAMALIZE MAJUKUMU KWANZA
 
Huku kilosa diesel imeadimika toka ijumaa maeneo ya dumila imekuwa bidhaa adimu wafanyabiashara wanafanya wanavyotaka na hakuna wa kuwakemea kweli safari ni ndefu kufika nchi ya ahadi
 
Back
Top Bottom