Huduma ya kutafuta kazi kwa kutumia simu (Kazi Mobile) yaonyesha mwanga Tanzania

justdoit

Member
Sep 2, 2009
63
4
Huduma hii ikiwa imezinduliwa mwaka jana tu tayari ina wafuasi zaidi ya elfu ishirini(20,000) na wengine wanaongezeka kila siku kwa kasi. Imeshasaidia watu wengi kupata kazi kirahisi kutumia simu ya mkononi tu.Huduma hii ni kwa masaa 24.

Ushuhuda:
John Francis
"Nashukuru sana kwa kuwepo kwa huduma hii kwa sababu nilikuwa nimeshakata tamaa kununua magazeti kila siku. Mda mwingine niliweza kununua magazeti hata matano kwa siku (Zaidi ya shilingi 2,000) bila kupata aina ya kazi ninayohitaji. Lakini kwa kutumia huduma hii niliweza kutumiwa aina ya kazi niliyoomba kwa shilingi 150 tu.Na nilikuwa nina uwezo wa kusema sihitaji tena huduma hii mda wowote na kujiunga tena pindi ninapohitaji.Mwanzo nikuwa sihamini kama ninaweza pata nafasi za kazi katika simu yangu lakini nilipojaribu niliona inasaidia sana kuokoa mda na fedha.Badala ya kupokea message ambazo hazina faida maishani kwangu nilipata nafasi za kazi.Sasa hivi nina kazi yangu kama Mkaguzi wa Mahesabu ya Ndani na ninawashauri wanaotafuta kazi kujiunga na huduma hii.Huduma hii imebadilisha maisha yangu"

Kujiunga ni rahisi: Kwa kutumia simu yako unajisajili kwa kufuata maelekezo haya: Kazi/Job (acha nafasi ) aina ya kazi halafu unatuma kwenda 15522
Mfano:KAZI Uhasibu halafu unatuma kwenda 15522.
Baada ya hapo utakuwa unapokea nafasi za kazi(job vacancies) kila mara zitakapokuwepo mpaka hapo utakapojitoa kwa kuandika kazi stop au stop kazi au stop job. Kila message utakayotumiwa ni shilingi 123+VAT .Nafasi zaa kazi utakazotumiwa ni mpya kutoka kwa waajiri.

Aina ya message utakayotumiwa ni kama hii:

NAFASI YA KAZI:MHASIBU
Sifa:Shahada ya kwanza ya Uhasibu,Awe amesajiliwa na NBAA,Ujuzi wa Kompyuta
Maombi:Mwenyekiti,TAZARA SACCOS LTD,BOX 40929,DSM
Mwisho:15/01/09

AU

ACCOUNTANT II
Education: Degree/Adv Diploma in Accountancy,3yrs experience
Handwritten application:The C.E.O/Admin General,RITA,Box 9183,DSM
Deadline:04/02/2009

Masharti na kanuni vinazingatiwa
 
Ujasiriamali mwingine bwana...anyway it is great lakini kama watu wanafaidika na huduma hii.,nitaijaribu huenda ikanipa kazi nzuri kuliko niliyonayo sasa.
 
c kweli kwa huduma hiyo, una qualification ya ualimu, utakatwa hela wee wee na utatumiwa kazi za accountant wapi na wapi na unaweza tumiwa hiyo post kila cku, asikudanganye mtu
 
Weweee ! Don't ever prejudice basing on history or tales ! Siyo watu wote ni wahuni au wabinafsi..Tunataka kuwasaidia watu na tumeshayaona mafanikio kutoka kwa ndugu na marafiki na kamwe hatutakomesha huduma hii. Our clients get value of their money. If you opt for driver unapata kazi ya dereva tunapoipata na kama hatuna hatuwezi kukutumia yoyote, ukiomba yoyote unatumiwa yoyote. Simple like that my brother.Try you will see for your self. Thanks
 
Tatizo natafuta kazi za mkoa mmoja nyinyi mnatuma za mikoa yote Tanzania,sasa mpaka nipate ninayoitaka si nimeshakatwa hela kibao jamani?
 
Labda,lakini unakuta wamekutumia message inayoonyesha nafasi za kazi mbalimbali.Deadline ni kesho,wanakutumia leo.Kwenye msiba pia kuna furaha.Yakuambiwa changanya na akili zako.
 
Back
Top Bottom