Huduma ya internet ya bei nafuu zaidi tz 2500 tu!

Status
Not open for further replies.
kama ulikuwa hufahamu ndo ufahamu sasa. 1GB=5000 kwa ilivyo sasa na ni kwa makampuni yote uyajuayo yanayotoa bundle cha muhimu tupige kelele ishuke!


Wewe ndio ulikuwa hufahamu, ngoja nikupe correct info. ili ufanye comparison kisha ndio ubishane.

Airtel bundle
http://www.africa.airtel.com/tanzania/broadband-tariff-216

Handset Browsing Bundle(400 MB) 2,500/= 30 days

Internet Bundles Vodacom http://www.vodacom.co.tz/products--services/internet-services/internet-bundles
package Tsh
50MB 2,000
250MB 10,000
500MB 20,000
1GB 40,000
2GB 70,000
3GB 90,000
5GB 140,000
10GB 270,000
20GB 450,000
50GB 1,000,000


Zantel

packages.gif
 
Unauziwa modem pamoja na kukomfiga na 1GB ya mwez mzima kwa Tsh 350,000/ baada yahapo utakuwa unanunu. Mb400 kwa elfu mbili mia tano kwa mwezi
Hiyo bei ndugu yangu sijui kama utapata wateja!
 
huyo anayetumia mb atakuwa anashinda face book tu ndo mana hawezi maliza.Mi namaliza 2gb kwa 2dys na bado zantel wananibania eti hadi nisubiri wiki iishe na zaidi nitumie 5,000/= kwenye line yangu ya zantel huu ni unyanyasaji kwanini wakulazimishe matumizi yako yaweje wangeruhusu tu inapoisha unaweka nyingine bandika bandua na kama tayari umewaungisha kwa kuwa na modem yao wasilazimishe kutumia line zao kwa kupiga naungana na wanaolipia kwa speed bila kukadiriana mb wala gb na usilogwe ukanunua bundle ya unlimited almaarufu kama bomba 7 au 30 spidi yake ni aheri ya kobe anawahi hiyo unakesha ni mateso matupu kuna jamaa yangu alikuwa anadownload movie ya 700 mb ilichukua wiki kumaliza na kompyuta ilikuwa on 24hrz!!!!!!!!!!WEEEEZI HAWA tugome siku kutumia mitandao yao tuone watafika wapi!!!!!!


Pole sana matumizi yako bado madogo sana ndugu yangu, Amia voda mimi nalipoa 30,000/= kwa mwezi natumia 3GB + kwa siku,
speed ipo fresh!
 
Kuna jins jamaa wanai jam line ya modern(illegal) n afta that u'l neva pay again. Completly free
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom