Huduma ya Epidural Kwa wanawake wanaojifungua inapatikana Tanzania?

housegirl

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
3,125
2,188
Epidural anaesthesia ni ganzi unapewa kupitia uti wa mgongo, kuanzia labor hadi utapojifungua. Unakuwa Husikii maumivu ya tumbo wala wakati kusukuma.

Doctors, huduma hii inapatikana huku?
 
Epidural anaesthesia ni ganzi unapewa kupitia uti wa mgongo, kuanzia labor hadi utapojifungua. Unakuwa Husikii maumivu ya tumbo wala wakati kusukuma.

Doctors, huduma hii inapatikana huku?
Nikusahihishe tuu Epidural haitolewi kuanzia labor ila katikati ya labor mtoto akiwa chini ya 6cm adi kutoka . Ikiwa zaidi ya 6cm huwezi pata Epidural maana sio safe. Ila inategemea na mazingira ya anayetakiwa kujifungua . Mwanzoni mama mjammzito akipata uchungu hawezi kupata Epidural maana ita Mslow down mtoto kutoka . Na ukumbuke mpaka ifike 10 cm ndio mama anaanza kusukuma. Kudilate ni muhimu sana zikifika nyakati za mwisho wa ujauzito . Kuhusu hii dawa kifika hapa Tz labda hospital za binafsi ila kwa Serikali bado . Ngoja wazoefu waje watujuze .
 
Nikusahihishe tuu Epidural haitolewi kuanzia labor ila katikati ya labor mtoto akiwa chini ya 6cm adi kutoka . Ikiwa zaidi ya 6cm huwezi pata Epidural maana sio safe. Ila inategemea na mazingira ya anayetakiwa kujifungua . Mwanzoni mama mjammzito akipata uchungu hawezi kupata Epidural maana ita Mslow down mtoto kutoka .
thanks but vingine ulivyosema ni myths
tu zilizoaminika mwanzoni mwa
ugunduzi.

wameshaangalia wamama wameona
akiwahi kupewa wala haicheleweshi
labor ukilinganisha na wasiopewa.

(INGAWA TO BE FAIR, madokta wengine wanasema it does slow labor if given early.

me nimeangalia zaidi experiences za wamama walioandika online. wengine walipewa baada tu ya kuanza labor

wengine wanasema walikaa muda mrefu na labor mwishoni wakaamua wapunguze maumivu. wakajajifungua mapema baada ya epidural)

ya kuwa sio safe baada ya 6cm hata
sijawahi kusikia sema wanaweza
wasikupe wakati umeshakaribia kabisa
kujifungua kwasababu either dokta wa
ganzi hayupo au

kwakuwa inachukua muda mrefu kuanza
kazi (20-30mins) ,so inaweza isikusaidie.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
usitake kukimbia majukumu, zaa kwa uchungu, unajua ni kemikali zinaenda kupooza huko ndani, msipende kujitafutia shida wadada, si ajabu ukikosa hiyo huduma ukaomba upasuliwe
 
usitake kukimbia majukumu, zaa kwa uchungu, unajua ni kemikali zinaenda kupooza huko ndani, msipende kujitafutia shida wadada, si ajabu ukikosa hiyo huduma ukaomba upasuliwe
if a woman will feel empowered or more feminine by having a natural birth then its all good.

I don't think there will be any reward for me going through agonizing pain for hades knows how long while there are ways to go pain free.

nurturing a human in me for 9months should be more than enough thank u.
 
Nasikia eti sijui uti wa mgongo ukitikisika unaweza paralyze,..kibongobongo mhh sina imani bado
 
if a woman will feel empowered or more feminine by having a natural birth then its all good.

I don't think there will be any reward for me going through agonizing pain for hades knows how long while there are ways to go pain free.

nurturing a human in me for 9months should be more than enough thank u.
naomba tuishen ya english mpendwa housegirl
 
usitake kukimbia majukumu, zaa kwa uchungu, unajua ni kemikali zinaenda kupooza huko ndani, msipende kujitafutia shida wadada, si ajabu ukikosa hiyo huduma ukaomba upasuliwe
Kupata uchungu hakupunguzi wala kuongeza.

Kama kuna njia za kuupoza wacha watumie ile op au epidural. Kuzaa sio lele mama.
 
Kupata uchungu hakupunguzi wala kuongeza.

Kama kuna njia za kuupoza wacha watumie ile op au epidural. Kuzaa sio lele mama.
we nakwambia subiri ifike huku usikie maneno.

"sijazaa na ganzi mie"

"mwanamke wa shoka yule, hamna cha ganzi wala nini"

nishajikubalia sina ushoka wala upanga wowote. mie kiwembe kabisa. period yenyewe inaniweka bed rest. hah! nature is so cruel.
 
Ili andikwa mwanamke atazaa kwa uchungu.
na wanaume watakula kwa jasho, lakini kutwa kushinda kwenye kipupwe. Kuna watu toka mwaka umeanza hawajatoa jasho. anayetokwa jasho kazini most probably ni maskini.
times have changed.
 
na wanaume watakula kwa jasho, lakini kutwa kushinda kwenye kipupwe. Kuna watu toka mwaka umeanza hawajatoa jasho. anayetokwa jasho kazini most probably ni maskini.
times have changed.
Kama ndio Tafsiri ya hayo maneno ndio hivyo ulivyofafafanua aisee acha uwe "Housegirl" tu kwa maana hakuna namna tena
 
Ule usemi wa

"Uchungu wa mwana..........."

Hautakuhusu tena ukijifungua kwa njia hiyo
 
we nakwambia subiri ifike huku usikie maneno.

"sijazaa na ganzi mie"

"mwanamke wa shoka yule, hamna cha ganzi wala nini"

nishajikubalia sina ushoka wala upanga wowote. mie kiwembe kabisa. period yenyewe inaniweka bed rest. hah! nature is so cruel.
Nyie wake zetu mliosoma shida tupu. Unaopt kwa hayo makitu ila likibungunyuka msala unakuwa wetu. Siamini wala kukubali mtu acheze Na Uti WA mgongo. Umebeba 9 months si umalize naturally. Wetu nao vichwa ngumu uzeeni tunahangaika nao wakiwa wanageuzwa vitandani. Jamani muwe wasikivu maana ukimwacha watu aha mbona alipokuwa mzima alimpenda.....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom