Huduma NSSF ni kero kubwa!

kama kawaida ya wabongo hata pahala stahihi pa kupeleka malalamiko yao hawapajui....hivi ni sahihi kwa habari ya kawaida kama hii kuwekwa katika jukwa la intelligence????!!!!!!!!!

shame:embarassed2:
 
NSSF hata data zao hazijakaa vizuri, michango inapelekwa hawaingizi kwenye account za member, unaomba statement hawajaingiza ukiuliza wanakwambia mwajiri wako hajaleta ukirudi kwa mwajiri anakupa receipt waliyompa na list ya majina na lako lipo ukirudi wanakuzungusha mpaka utoe chochote ndio wanakushuguliki.
 
Aisee hawa jamaa sikua km ni wanyonyaji kiasi nilichoambiwa, nafanya legal process nione km naweza hamia mfuko mwingine, washenzi sana hawajamaa
 
Nenda TAKUKURU kamata noti yako then nenda pale akikuletea za kukutoa chemba mshikishe hiyo noti ya TAKUKURU tu.

Hamna undugu tena hapa.
 
wakuu, nafuatilia malipo yangu pale NSSF ubungo -- kama kuna mtu ana number ya mtu wa accounts ili nicheki naye kama cheki yangu tayari nikachukue maana nipo mbali - ni vizuri kuulizia kwanza.
 
Back
Top Bottom