Huduma mbovu marangu hospital.

Officer2009

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
560
110
Wanajamii, mi nimelazwa hapa Marangu Hospital tangu jana usiku, ila cha kusikitisha ni kuwa sijapata huduma inayostahili hadi sasa! Usiku nilipewa pain killers na dawa ya usingizi. Asubuhi ilipofika nikamfuata dokta na kumwambia kuwa maumivu yameanza tena, nikitegemea kuwa huenda nikachukuliwa vipimo stahili na kupewa tiba, ila haikuwa hivyo, kwani nilirudishwa wadini na kuambiwa nisubiri kwani watakuja wadini. Daktari aliingia wadini saa nne na robo asubuhi na baada ya kunihoji na kunishikashika tumbo akamwambia nesi kuwa natakiwa kuchukuliwa vipimo. Mi nikaendele kuugulia maumivu hadi mambo yalipozidi nikamfuata nesi tena(baada ya nusu saa) na kumuuliza kulikoni, ndo akaniambia niende maabara nikapime. Hadi sasa hivi saa nane kasoro ninapoandika majibu ya maabara bado hayajatoka, na sijatibiwa wala kujua maradhi yangu, pamoja na kuwa nina maumivu makali mno. Hivi kweli hivi ndo wanavyopasa kuhudumiwa?
 
Watakuwa bize JF.
OTIS
 
watakuwa bize jf.
Otis

umeonaaaaaaaaaa eeeeeeeh kuna kakayangu dk akisoma kama hiii achelewi kupiga simu wakuondoe wodini unabana nafasi za watu wanaoitaji kulazwa kwa kweli ingawa maumivu yanauma pole
 
mkuu bora hata amekuja kukuona huyo daktari ukapewa na dawa ya maumivu. Nenda pale Mawenzi hospitali ya mkoa, nadhani ungetakiwa kununua hata hiyo pain killer.
 
Back
Top Bottom