Hubble images (from NASA scientists)

hiii umesema Galaxy ndo ile simu samsung galaxy kama ya mama gaude au nachanganya vitu hapa...shaklamoo lakin afro denzi
 
...kuna kipindi hawa NASA walifanya KUFURU (kwa sababu ya kujifanya kwao kwamba wana akili mingi) walitaka kumtafuta Mungu alipo huko angani. Walichokumbana nacho wanakijua wao wenyewe.
Acheni Mungu aitwe Mungu.
 
..Bwa haha hhaaa. Posts zako always huwa zinaniacha na vicheko. kwi kwi kwi kkk.dah
 
...kuna kipindi hawa NASA walifanya KUFURU (kwa sababu ya kujifanya kwao kwamba wana akili mingi) walitaka kumtafuta Mungu alipo huko angani. Walichokumbana nacho wanakijua wao wenyewe.
Acheni Mungu aitwe Mungu.

Tuelezeni ... hawa NASA Walikumbana na nini ... !!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom