Huawei, Voice Calls na Modem ya Voda

leh

JF-Expert Member
May 30, 2012
827
363
wakuu nimenunua modem mpya ya voda na ninataka niwe naitumia kupigia simu. hichi kisoftware cha Huawei Dashboard kinafaa kabisa ila napata zenye ads za watenegenezaji, kitu abacho kinabore mbaya. kuna anybody ana link ya another version? nime google usiku mzima to no avail


11cfrme.jpg
 
Back
Top Bottom