huawei mobile partner download

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
kuna mtu alikuwa anataka huawei mobile partner ambayo unaweza kupiga na kuweka salio moja kwa moja, sikumbuki vizuri sikumbuki ni NingaR au leh , basi nimeona nishee na nyie hii hapa, hii sio ile tuliyoizoea, hii iko tofauti kidogo

huawei2011.png



baadhi ya features zake

  • inasupport calling
  • inakuja na theme 5 tofauti
  • Latest version ya mobile partner
  • Auto apn kwa kila operator
  • ina generate code za kuangalizia salio (ussd) tofauti kwa kila mtandao.

theme zake mpya hizi hapa



default.png






work.png



incredibleindia.png





flower.png



funkistaan.png






download hapa
 
Last edited by a moderator:
Shukrani sana mkuu...ningekuwa natumia modem ningefaidi sana hii kitu...Ngoja nitawafowadia watumiaji wa modem ili wafaidike.
 
nime jarib kuinstal but ina fail kumaliza, ina sema extract file.check data bin, naomba msaada
 
shukrani sana C6 ngoja niifanyie kazi
 
Last edited by a moderator:
attachment.php


unachotakiwa kufanya ni kui right click picha hiyo kisha kwenye menu chakugua "copy link location" sasa njoo kwenye sehemu ya kuandikia post yako pale juu chagua "insert image" chagua "from URL" kisha paste kwenye kile kibox kimeandikwa URL lakini kumbuka ku untick "Retrieve remote file and reference locally" , lasivyo itakupa error message!
Haya sasa jaribu!
devuquarter na Shaffin Simbamwene
 
Last edited by a moderator:
hizi link ukidownload unapata audio files, hamna kitu hapo

kweli nimeamini Unaweza kuwadanganya watu flani kwa muda wote na unaweza kuwandanya watu wote kwa muda flani lakini huwezi kuwandanya watu wote kwa muda wote.

MBONA HIZO LINK ZIPO FRESH WATU TUMEPAKUA BILA TABU.
KAMA UMEKWAMA SEHEMU SEMA USAIDIWE
 
kweli nimeamini Unaweza kuwadanganya watu flani kwa muda wote na unaweza kuwandanya watu wote kwa muda flani lakini huwezi kuwandanya watu wote kwa muda wote.

MBONA HIZO LINK ZIPO FRESH WATU TUMEPAKUA BILA TABU.
KAMA UMEKWAMA SEHEMU SEMA USAIDIWE

Format ya .dat mara nyingi window inaitambua inafunguka na vlc (kama unayo) au media file yoyote so first time kama ni mgeni lazma udhani umedownload video/audio file

Nahisi jamaa kachanganya hapo
 
kwenye link yangu kuna file mbili, .exe na lingine .bin au .dat sikumbuki vizuri, .bin au .dat vlc inaiona km ni vcd video format so itataka kuiopen km default program
 
Back
Top Bottom