Huawei ETS 2288 inachakachulika?

tizo1

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
856
145
Naomba kuuliza nina ile blod band ya TTCL.Kuna simu na modem hapo hapo.Nauliza inaweza kuchakachulika?kama inawezekana naombeni msaada jamani.
 
Naomba kuuliza nina ile blod band ya TTCL.Kuna simu na modem hapo hapo.Nauliza inaweza kuchakachulika?kama inawezekana naombeni msaada jamani.

jamani mbona kimya watblamu wangu?Naomben msaada wadau.
 
Dah,yani hiyo simu nlihangaika nayo sana lakini sikuweza pata ufumbuzi wa ku unlock na kuweza kuchomeka simcard nyingine!Inahitaji box kuiflash na sio hivi hivi tu mkuu,nakushauri ununue modem 3g za kisasa hizi,tigo wanauza sh.30,000 zantel buku 25,hiyo ETS 2288 mi nliamua kuitumia kama simu ya mezani tu,ilinichosha!
Ila kama kuna wadau wanaiweza,watajitokeza kukujibu mkuu!
 
Back
Top Bottom