Huawei Ascend P1 au Huawei U 8860 Honor wapi naweza kupata kwa hapa Bongo

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,837
8,221
Naweza kupata wapi simu aina hii Huawei Ascend P1 na Huawei U 8860 honor kwa hapa Bongo,anayejua tafadhali anijuze,pia ningependa kujua na bei yake.Natanguliza shukrani
 
ascend p1 bado kuja huku africa na mashariki ya kati labda uwe na mtu toka china,
 
Du poa nashukuru nitaangalia na watu waendao China,nilifikiri huenda zikawepo Kariakoo
 
me natumia honor U 8860 niliagiza toka china kwa usd 300
 
Naweza kupata wapi simu aina hii Huawei Ascend P1 na Huawei U 8860 honor kwa hapa Bongo,anayejua tafadhali anijuze,pia ningependa kujua na bei yake.Natanguliza shukrani

hello Mfianchi,unaweza ku-order kupitia kivuko.com link ya hiyo simu hii hapa bei yake ni Tshs Tshs 540,960.

Karibu
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom