Hua naota nimemega hadi........ ila sijawah kuota nimeoa

Tasia I

JF-Expert Member
Apr 21, 2010
1,223
193
Wajameniee ndoto wote najua mwazijua au kila mtua hapa alishaota.
Me hua naota nimemega sometime Maria Roza, first lady, lizzy, miss judy, Dena Amsi n.k ila sijawahi kuota hata mara moja kua nimeoa ingawa hua nawaza pia kuhusu kuoa.

Hii niaje??
 
Wanawake woooote hao unawaota wewe tu tena na wengine?? We kweli kiwembe endelea kuzini kwenye ndoto zako za mchana hizo
 
huna adabu,,,,ndio maana wee waota ni mtu wa kuziiiini tuu sidhani kama utawahi kuota umeoa au utaoa kiukweli kabisa,,,
 
Wajameniee ndoto wote najua mwazijua au kila mtua hapa alishaota.
Me hua naota nimemega sometime Maria Roza, first lady, lizzy, miss judy, Dena Amsi n.k ila sijawahi kuota hata mara moja kua nimeoa ingawa hua nawaza pia kuhusu kuoa.

Hii niaje??

hapo ukute hujawahi kuwaona...ukiwaona je si itakuwa balaa!!
 
hahahaha hao unaowaota unawadinya huwa hawaamki wamechoka kweli?:embarassed2:
 
huna adabu,,,,ndio maana wee waota ni mtu wa kuziiiini tuu sidhani kama utawahi kuota umeoa au utaoa kiukweli kabisa,,,

adabu sio kuvaa ushungi we dad.na kuota au kuwaza kua nimefaya ngono sio maana kua sina adabu au kua hua nazini sana.ndio sababu nikawaza kwa nini hua naotatu kua nimefannya ngono lakini nisiote kua nimeoa??
 
hilo ni tatizo ndugu, pamoja na kwamba wewe huoni kama ni tatizo! ni mfano wa mtu anaeona nyoka mwenye rangi nzuri na kumchezea , anasahau kwamba bado ni nyoka! hao unaowaona kwenye ndoto si hao unawataja. Hilo ni tatizo na might affect your marriage/relation life! Nenda uombewe!
 
mmh we kiboko ndoto zako zinaonyesha wewe ni mzinzi tu huna mpango wa kuoa
 
hapo ukute hujawahi kuwaona...ukiwaona je si itakuwa balaa!!

nyingine ni lugha za kifasihitu.naposema dena amsi, maria roza n.k simanishi wao kama wao.namaanisha wanawake tofautitofauti.
tumieni hata akili kidogo juu ya kile mnachokiona jamani.
 
Wajameniee ndoto wote najua mwazijua au kila mtua hapa alishaota.
Me hua naota nimemega sometime Maria Roza, first lady, lizzy, miss judy, Dena Amsi n.k ila sijawahi kuota hata mara moja kua nimeoa ingawa hua nawaza pia kuhusu kuoa.

Hii niaje??
leo vipi Tasia a.k.a springi hiyo konyagi ni chupa ya ngapi ?
 
Haya bana Tasia endelea kuota na kuenjoy maisha
 
Wajameniee ndoto wote najua mwazijua au kila mtua hapa alishaota.
Me hua naota nimemega sometime Maria Roza, first lady, lizzy, miss judy, Dena Amsi n.k ila sijawahi kuota hata mara moja kua nimeoa ingawa hua nawaza pia kuhusu kuoa.

Hii niaje??

Umewekeza kwenye kumega unafikiri utavuna nini?
 
Uzinzi mtupu, huna adabu, unawaza ngono muda wote ndio maana waota uzinzi
 
Wajameniee ndoto wote najua mwazijua au kila mtua hapa alishaota.
Me hua naota nimemega sometime Maria Roza, first lady, lizzy, miss judy, Dena Amsi n.k ila sijawahi kuota hata mara moja kua nimeoa ingawa hua nawaza pia kuhusu kuoa.

Hii niaje??

Ukimaliza kuota unafanyaje?
 
angalia sana hizi ndoto mwisho wake unamegwa
m nikiota naashtuka kama mtu ananchapa sehemu za makalio..nakemea mbaya najua moto wake mwisho mbaya usiziachie hayo akuna sawa na popibawa
 
nyingine ni lugha za kifasihitu.naposema( dena amsi), maria roza n.k simanishi wao kama wao.namaanisha wanawake tofautitofauti.
tumieni hata akili kidogo juu ya kile mnachokiona jamani.

Kwenye mabano huyo ni mwanaume mkuu kama sikosei jina lake ni Dennis Mandi.
 
leo vipi Tasia a.k.a springi hiyo konyagi ni chupa ya ngapi ?

kaka nimejiexprestu, ila naona ka naeleweka vibaya bana!! kila siku tunajadili mabo yanayohusiana na haya ila nashangaa et leo mi sina adabu!!

ngoja nifunge ofisi me niwah ktaa ndo rafiki wangu mkuu.
jioni nema bos.
 
Back
Top Bottom