http://uncyclopedia.wikia.com

Hivi sisi kama watanzania wenye serikali inayoongozwa na rais tunafanya nini?Mpuuzi kama huyu aliyeandika ujinga kama huu anashindwa kupatikana na kuadhibiwa kisheria au hata na wananchi wenye hasira?Tumetukanwa kiasi gani na tunakaa kimya?Au sisi ni mpaka pale tu Ze Utamu inapogusa maslahi ya watawala ndio tufanye kazi?Mjinga kama huyu hakutakiwa awe anapumua mpaka dakika hii kwa kuthubutu kuwatusi watu zaidi ya milioni 40.
 
Huyu jamaa aliyetengeneza hii kitu anastahili adhabu ya kifo. Nashauri wenye mamlaka wamtafute kwa bidii kwani anachafua image ya taifa. Pili nashauri moderator aiondoe anayetaka kusoma asipitie huku inatia kichefuchefu!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom