HTC touch pro2 nataka redio ya fm

Ina maana hakuna anayejua au? nashangaa hili swali halijajibiwa mpaka sasa?
 
Kulingana na gsmarena.com radio ya hiyo simu iko locked by default ila how to unlock hakuna maelekezo. Sasa umejua anza kutafuta
 
Back
Top Bottom