Htc dream simu inauzwa

raia tz

Member
Nov 21, 2011
89
16
Habari jamvinii, nina HTC mobile nauza model yake ni HTC DREAM. Ipo na charger yake. price ni 275000Tshs kama anayehitaji ani PM.
 
Attachments

  • 250px-T-Mobile_G1_launch_event_2.jpg
    250px-T-Mobile_G1_launch_event_2.jpg
    12.9 KB · Views: 109
  • htc-dream-9.jpg
    htc-dream-9.jpg
    19.4 KB · Views: 99
mkuu imetoka nje,nimeitumia two days,ipo poa waweza iona ukiwish.
sawa imetoka nje na wewe umetumia siku 2 je huko ilikotoka imetoka dukani au ilikuwa inatumika ,na kama ilikuwa inatumika imetumika kwa muda gani,kutoka nje sio sababu ya kutotumika
 
sawa imetoka nje na wewe umetumia siku 2 je huko ilikotoka imetoka dukani au ilikuwa inatumika ,na kama ilikuwa inatumika imetumika kwa muda gani,kutoka nje sio sababu ya kutotumika
Thanks kaka kwa challenge,hope sikujibu vyema,electronics ikitoka nje yaweza kuwa mpya au ya mtumba.hii haikuja na shop components zake jamaa kaniletea so ni ya mtumba.kusema nje imetumika mda gani i cant say but ipo bomba.thanks 4 nce comment.
 
Sura na Umbo tushaiona,
Ndani ikoje?
Namaanisha perfomance na specification zake!!
 
Habari jamvinii, nina HTC mobile nauza model yake ni HTC DREAM. Ipo na charger yake. price ni 275000Tshs kama anayehitaji ani PM.

Je imekuwa locked kwa T-mobile au unaweza kuitumia kwenye mitandao yote,yaani unlocked?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom