HSLB Registration On line ni UBABAISHAJI mtupu

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
wana Jf hebu tuliangalie hili kwa undani zaidi,leo tarehe 14/05/2011 niliamuwa kujaza fomu ya body ya mikopo kwa ajili ya mke wangu ambae amepata nafasi ya kuja kusoma hapa china

nimeamka saa mbili asubuhi ya hapa china ni sawa na saa saba usiku ya Tanzania,nili amuwa kujaza asubuhi ya hapa nikitambuwa kuwa system itakuwa imetulia kwani jana tarehe 13/05/2011 nilijaza kwa mda wa mchana wa Tanzania lakini sikufanikiwa

Hata nilivyo amuwa kujaza saa saba usiku ya Tanzania bado matatizo ni yaleyale mala error in system(A Database Error Occurred
Error Number: 1062

Duplicate entry '1014' for key 2

INSERT INTO `demographicdetails` (`dob`, `districtid`, `regionid`, `registerid`) VALUES ('1979-08-28', '180', '6', '1014')
Na hapo tayari nilikuwa nimeshajaza fomu karibu nusu,nilipofika ktk sehemu ya EMPLOYER TYPE madudu yaka anza tena,nimejaribu zaidi ya mala kumi lakini wapi,tia maji tia maji

mambo kem kem na nilikuwa makini sana ktk kujaza ili nisikosee kwa kufuata masharti ya body wanavyotaka.

Swali langu ni kwamba kama HSLB hawakuwa tayari na OLAS kwanini waliamuwa kuianzisha?
kwa system hii wanafunzi wanaohusi watapata mkopo kweli?

kwa ushauri wangu naomba HSLB iachane na OLAS mpaka hapo watakapo kuwa tayari kuianzisha

kwani wazazi wanapoteza pesa nyingi sana ktk kulipia Internet kila siku na hakuna mafanikio yeyote yanayopatikana ktk ujazaji wa hizo fomu kwa system yao ya OLAS

HSLB acheni ubabaishaji ktk mambo ya msingi
 
A Database Error Occurred
Error Number: 1062

Duplicate entry '1014' for key 2

INSERT INTO `employer` (`employer`, `address`, `title`, `employertypeid`, `registerid`) VALUES ('Ministy of Education and Vocational Training', 'P. O. Box 9121', '98', '2', '1014')

Server error
The website encountered an error while retrieving http://41.188.154.196/applicationtracker/higherlearninginst. It may be down for maintenance or configured incorrectly.
Here are some suggestions:
Reload this web page later.
HTTP Error 500 (Internal Server Error): An unexpected condition was encountered while the server was attempting to fulfill the request.
 
Lakini pia kwenye Higher leaning institution haifunguki naambiwa Server error
ila pale penye Fee Payment Details hapana tatizo panafunguka,Naomba ushauri hapo pa higher leaning institution nipaaaaaaaaache bila kujaza?
 
labda ni firewall za china,anyway mambo ya komputa serikali ya tanzania ipo nyuma sana,bado ukizungumzia komputer watu wanafikiria DESKTOP na Laptop computers.rather than IS systems ,

vumilia kaka ,ukishindwa mtafute dalali in DAR aende akufanyie makaratee kabla hujachelewa huko china
 
Lakini pia kwenye Higher leaning institution haifunguki naambiwa Server error
ila pale penye Fee Payment Details hapana tatizo panafunguka,Naomba ushauri hapo pa higher leaning institution nipaaaaaaaaache bila kujaza?
Nimejaribu kulipia kwa m-pesa lakini kuna kitu kinaandikwa nambari ya kumbukumbu ya malipo, nashindwa niweke nn, ninamlipia jamaa yangu na nimeshamaliza taratibu zote za subforms, help
 
Nimejaribu kulipia kwa m-pesa lakini kuna kitu kinaandikwa nambari ya kumbukumbu ya malipo, nashindwa niweke nn, ninamlipia jamaa yangu na nimeshamaliza taratibu zote za subforms, help

nambari ya kumbukumbu ni muhimu sana kwa bodi ya mikopo kujuwa ni nani amelipa,watalijuwa hilo kwa kutumia namba yako ya form 4,six na mwaka uliomaliza
namaanisha kuwa kumbukumbu yako ni account yako ambayo ni namba ya f4,six na mwaka uliomaliza,ila ile watakao kutumia ktk sms ya mwanzo ndio id utakayo iweka ktk olas

sasa mkuu nawe saidia ktk higher leaning institution napata taaaabu kuifungua ila sehemu nyingine zote nimefanikiwa
 
Nimejaribu kulipia kwa m-pesa lakini kuna kitu kinaandikwa nambari ya kumbukumbu ya malipo, nashindwa niweke nn, ninamlipia jamaa yangu na nimeshamaliza taratibu zote za subforms, help

. A registered customer dials *150# from the
mobile handset
2. Choose option 4 for Payments ("Malipo" )
3. Choose option 3 for "Choose
Business" (Chagua Kwenye Orodha )
4. Enter 7 ("Education Services") ("Huduma
za Elimu" )
5. Enter 2 for "HESLB"
6. Enter reference number (Weka namba ya
kumbukumbu ya malipo), which is your
formatted 15 character form 4 index number
e.g. S0143.0012.2009
7. Enter the amount to pay (30,000 or 10,000)
8. Enter a 4 digit MPESA PIN
9. Enter 1 to confirm
10. A confirmation Message will be displayed
 
good explation
 
haya mambo ya network ni tabu tupu,mimi nilikuwa namsaidia mtu wa diploma kuapply kupitia nacte,duh balaa tupu,baada ya kujitahidi sana mwisho wakaniambia eti gpa yake ni less than the predicribed by nacte,transcript yake ina gpa 2.81 lakini nacte wanasema ni 2.6
 
Back
Top Bottom