HR Consultancy firm inalipa Tanzania?

kulwa12

Senior Member
Jun 30, 2009
103
28
Ndugu wadau wote,
Mimi na mpango wa kufungua kampuni ya Human Resources (HR) Consultancy hapa Tanzania.Itashugulika na mambo ya Training,recruitment,placement,organization development na mengine kama hayo.Nataka iwe based Dar-es-salaam na Mwanza.
Je wadau biashara hii inalipa?
Kuna mtu yoyote anaewea kuwa partner katika biashara hii?
Je capital ya kuanzia ianabidi iwe kama Tsh ngapi?
Naomba ushauri na uzoefu kutoka kwa mtu yoyote.
asante.
 
Unahitaji mwaka na nusu wa kujenga jina na kazi ngumu, baada ya hapo waweza fanikiwa. Bahati mbaya ni kwamba wakuu wa sehemu za kazi hapa wengi si mashabiki wa kuomba huduma hizo hata kama wanahitaji. Likini ukisha jenga jina hao wachache wanatosha kukulipa.
Kaza moyo tu usikate tamaa.
 
Ni jambo jema. Ukiwa na a good strategic plan utafanikiwa kwani bado soko la kazi hii not flooded. Pia kuna compuni nyingine ya HR Consult, japo wewe ni HR Consultancy siji mnatofautinaje. Hawa HR Consult wanafanya pia researches, hasa za mambo ya human resources. Ukija uwaone au search google kama wapo pate kuwafahamu and their areas of speciality.
 
Ndugu wadau wote,
Mimi na mpango wa kufungua kampuni ya Human Resources (HR) Consultancy hapa Tanzania.Itashugulika na mambo ya Training,recruitment,placement,organization development na mengine kama hayo.Nataka iwe based Dar-es-salaam na Mwanza.
Je wadau biashara hii inalipa?
Kuna mtu yoyote anaewea kuwa partner katika biashara hii?
Je capital ya kuanzia ianabidi iwe kama Tsh ngapi?
Naomba ushauri na uzoefu kutoka kwa mtu yoyote.
asante.

Una mawazo mazuri sana. Ila nina maswali machache unatakiwa kuyajibu.

1- Hili ni jambo la employment basis. Umewasiliana na department of employment ya govt?

2 wadau ambao ni employers unawajua? (on the other hand stake holders), je school leavers umeongea nao na kujua what is in the community as there might be vested interests that hinders other dev?

3 What are the resources available for employments focus? eg kuna uwezo wa kuchagua kazi. Which group is a target for you business?

4 Income that is expected? This will help you in your advertisment basi. Identfy govt/political surpot.

5 public and community knowledge on beneficial basis.

Addition ni kwamba kuna kitu kinaitwa WORK PLACE TRAINING hii itakuwa pia employees of all private and govt departments watakuwa wanalipia. Hasa waalimu, polisi, watendaji kata, financial institutions na idara za maji, barabara, wafanyakazi ofisi za wakuu wa mikoa na wilaya. Ndo maana nikasema unamawasiliano ya employment dept? Do you have govt/political surpot?

Samahni najua utakuwa wayajua b4 lakini ningependa kujua zaidi ili tuweze kuvutiwa na vshawishi utakavyoweza kuvielezea kwenye hili janvi
 
Bishara ni akilia na uwezo wa kuwafanya watu wakujue siyo hela. nakushauri uhamishie hiki kitu mwanza ili iwe rahisi kuwapata watu wa mikoani hasa kwenye mambo ya training kama utakuwa nayo.

Tutakusaidia kupiga debe siyo razima mtu awe partiner
 
asanteni sana wadau kwa michango naendelea kupata mwanga na bado naitaji zaidi mawzo yenu
 
ukiweza deliver high quality with good prices sioni sababu ya kutofanikiwa,watu wengi wanahitaji hizo services lakini tatizo firm nyingi za namna hiyo ni walipuaji tuu,expensive na upuuzi mwingi tuu!
 
Huu ni ukiritimba wa kihafidhina tu, ubwanyenye usio na tija hususan kwa nchi masikini kama Tanzania. Tunaongeza middlemen tu wasio na uzalishaji bali kuongeza gharama na unyonyaji kwa kamisheni na fees zinazoepukika.

HR Consultancy zinafanywa kwenye nchi zenye an employment scene na ma lawsuit culture huko ambako muajiri hataki ku deal na liabilities za wafanyakazi, kwa hiyo anaitwika HR Consultancy firm responsibility zote, bongo hakuna employment scene wala lawsuit culture, waajiri wachache watafuta kazi lukuki, zaidi ya hapo kazi zinaenda kwa kujuana, so unless you are a Rupia or something - some Rupia was/is doing this- with direct channels and influence serikalini ya hata kuwabadilisha mifumo yao, this will be a futile and expensive experiment.
 
fanya research, tafuta watu ambao tayari wako kwenye sector hiyo watakupa uhakika kama inalipa au longolongo.
 
kila kitu kinalipa bongo....si unajua kuwa hili ni shamba la bibi?
muhimu ni network na uwe tayari kula na watu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom