Human papilloma virus (HPV) ugonjwa hatari kuliko UKIMWI. Anayejua kuhusu huu ugonjwa afafanue zaidi

Hizo chanjo ndio zitakuja kutuua kabisa, zina long term effects madhara yake ni ya baadae na tena ni mkubwa sana, dunia ya sasa kama sio mwerevu maisha yako yanakua hatarini sana, wanatengeza magonjwa yanayotujaza hofu then wanakuja kutumaliza na chanjo zao, maana ukisikia ugonjwa km huo alafu uambiwe Kuna chanjo yake lazima ukaifakamie Bila kujua madhara yake ni mkubwa zaidi..
Kwa hili mkuu itabidi upresent evidence kali kutetea hoja yako, chanjo ni moja katika vitu ambavyo sisi watumwa tunavipigia kelele mvikubali inaitwa (health promotion). Vijana wa kiume pia wanapewa chanjo hii kwani wanapata sana madhara kwa mapenzi ya kuhusisha kinywa na sehemu za siri, inasababisha cancer ya koo.
 
Back
Top Bottom