Human papilloma virus (HPV) ugonjwa hatari kuliko UKIMWI. Anayejua kuhusu huu ugonjwa afafanue zaidi

remosa

Senior Member
Oct 3, 2014
161
141
Fast facts on human papillomavirus

Here are some key points about human papillomavirus. More detail and supporting information is in the main article.
•Around 80% of sexually active men and women will contract the HPV virus at some point during their lifetime.2
•Annually, there are 14 million newly diagnosed cases of HPV.2
•There are approximately 79 million men/women actively infected with the virus at any point in time.2
•HPV is not spread via bodily fluid; it is a skin-to-skin contact virus and can infect anyone who is or has ever been sexually active and many times, most infected individuals are asymptomatic, meaning they display no symptoms of the virus.1,2
•HPV can be spread through oral, vaginal or anal sex.1,2
•At times, HPV can be transmitted during birth to an infant causing genital or respiratory system infections.3
•There is no cure for HPV.2
•The strains of HPV known to cause genital warts are low-risk HPV 6 and 11, while the strains of HPV associated with cancer include high-risk HPV 16, 18, 31, 33, 45, 52 and 58.2
 
Yeah ni ugonjwa wa hovyo sana cause ndio unaosababisha kansa ya shingo ya kizazi #cervical carcinoma#
 
Kama ni hivyo tuache tu,maana hakuna mzima tena na tiba hakuna! kujitia mapresha tuuuu...
 
Unaambukizwaje? Na dalili zake ni zp?
Miongoni Mwa Njia Kubwa na Rahisi Kabisa Kumuambukiza Mtu ni Kunyonya Panocha (Pussy).
Kwani Mwanamke Anapoathirika Na HPV Unaponyonya tu Hile Panocha (Pussy) basi na Wewe unabeba Maambukizi Na Jiandae na Kansa ya Koo Kwani HPV ndiyo Wanaoongoza Kusababisha Kansa ya Koo Kwa Wanachama Wa Kunyonya Panocha (Pussy)
 
Human Papilloma Virus (HPV) ni virus inayosababisha magonjwa kama cancer ya haja kubwa (anal cancer), cancer ya uke (vaginal cancer), cancer ya mlango wa uke (vulva cancer) na cancer ya mdomo (mouth cancer). Chanjo inatolewa kwa mabinti wenye umri wa 16-18 kwa ugonjwa huo. Katika nchi za Africa, Nigeria imeanzisha mpango wa chanjo hiyo kwa vijana wote wa secondary. Nchi za magharibi chanjo hiyo hutolewa kwa vijana wote wa secondary, miaka 16 mzazi aridhie, miaka 18 ana uhuru wa kuamua mwenyewe.
Gardasil_vaccine_and_box_new.jpg

HPV vaccine.

Ni moja katika dawa muhimu zilizoodheshwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa nchi zitakazoweza kugharamia chanjo hii kwa raia wake.
 
Dalili zake ni zipi mkuu?
 
Hizo chanjo ndio zitakuja kutuua kabisa, zina long term effects madhara yake ni ya baadae na tena ni mkubwa sana, dunia ya sasa kama sio mwerevu maisha yako yanakua hatarini sana, wanatengeza magonjwa yanayotujaza hofu then wanakuja kutumaliza na chanjo zao, maana ukisikia ugonjwa km huo alafu uambiwe Kuna chanjo yake lazima ukaifakamie Bila kujua madhara yake ni mkubwa zaidi..
 
Pan
Miongoni Mwa Njia Kubwa na Rahisi Kabisa Kumuambukiza Mtu ni Kunyonya Panocha (Pussy).
Kwani Mwanamke Anapoathirika Na HPV Unaponyonya tu Hile Panocha (Pussy) basi na Wewe unabeba Maambukizi Na Jiandae na Kansa ya Koo Kwani HPV ndiyo Wanaoongoza Kusababisha Kansa ya Koo Kwa Wanachama Wa Kunyonya Panocha (Pussy)
Panocha ,kulo no lipya pestosa wee.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom