Hp Notebook mpya kwenye box lake inauzwa 800,000

emilwayne

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
265
19
Ni 2gb ram, 320gb hd, 1.66Ghz, built in webcam, wlan, bluetooth, wi-fi and window 7 starter pack nipigie kwa 0713079282 ... Nime2mia week na inakaa na charge masaa 6 kamili.
 
Ni 2gb ram, 320gb hd, 1.66Ghz, built in webcam, wlan, bluetooth, wi-fi and window 7 starter pack nipigie kwa 0713079282 ... Nime2mia week na inakaa na charge masaa 6 kamili.

Mpya au ume2mia wiki 2 tu? Ina dvd RW?
 
ni 2gb ram, 320gb hd, 1.66ghz, built in webcam, wlan, bluetooth, wi-fi and window 7 starter pack nipigie kwa 0713079282 ... Nime2mia week na inakaa na charge masaa 6 kamili.

ghali sanaa bei hiyoo... Brand new kabisa unapata kwa laki 5.5 mpaka laki 6.6 max....
 
we ****** nin? Umesoma vi2 ambavyo vinavyo au unaongea 2? Laptop inaweza kuwa hata laki1, laptop inakuwa bei kutokana na uwezo wake
 
we ****** nin? Umesoma vi2 ambavyo vinavyo au unaongea 2? Laptop inaweza kuwa hata laki1, laptop inakuwa bei kutokana na uwezo wake

Wewe sema unachotaka tukana all you want but HABARI NDO HIYO. Kwa hiyo model yako thats the price... Sasa Kama unabisha taarisha Laki 7 ukiwa tayari nishtue nikuuzie. Nitaenda kuinunua laki 6 nikubwenge 7. Wewe uza laki 8.... Adios...
 
ghali sanaa bei hiyoo... Brand new kabisa unapata kwa laki 5.5 mpaka laki 6.6 max....
Ni kweli hiyo bei umeiongeza sana hapo Game hiyo ni laki 6 na kwa laki 8 napata HP 4GB RAM ,500 GB HD pale Game na pale JM Mall,anyway uamuzi ni wako ndio maana ya soko huria mwenye bidhaa ndio mpangaji wa bei,lakini pia bei inaendana na mahitaji,kila la kheri
 
Kaka af pavillion ya 4GB Ram itauzwaje sasa kama hiyo notebook tu unaiuza kwa bei hiyo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom