HP LaserJet 1010 Printer (Q2460A)

majogajo

JF-Expert Member
Oct 9, 2011
317
44
wakuu Mwenye uelewa na printer hizi naomba anisaidie kuelewa bei yake hapa DSM na duka gani zinjapatikana ili nikanunue. HP LaserJet 1010 Printer (Q2460A)
 
1010 ni ya zamani badala yake utapata 1102 zinafanana shs 160,000-200,000 kariakoo unapata zote ninazitumia lkn nahisi 1010 ni nzuri zaidi ninayo zaidi ya miaka 5.
 
1010 ni ya zamani badala yake utapata 1102 zinafanana shs 160,000-200,000 kariakoo unapata zote ninazitumia lkn nahisi 1010 ni nzuri zaidi ninayo zaidi ya miaka 5.
da mkuu unayo zaidi ya miaka 5 lakini bado inapiga kazi? je kariakoo naweza nkaipata katika duka gani? na ni duka gani zuri kwa hii mambo?
 
Acha hiyo mambo ninayo hiyo Hp 1010 series niliinunua mwaka 2004 mpaka sasa inapiga kazi ila inaprint black and white. Ni adimu sana siku hizi niliinunua duka flan hivi kitumbini DSM.
 
da.nmeipenda sana hii printer, natamani sana niipate? kitumbini ni wp kwa hapa dsm? na kwa sasa duka zuri la printer ni lipi?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom