HP kufungua kiwanda Tanzania ni wazimu mtupu!

HP mhhhhh Kuna mtu alishaleta hii habari ziara fulani JK alivvyoenda south ziku za nyuma isome na usome wadau walivyomjibu

https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/132740-hp-kufungua-kiwanda-tanzania.html


Kifupi

  • HP hawawezi kufungua kiwanda tanzania kwa mazingira yaliypo- Umeme wa mgao Othewise sio kiwanda
  • Sio tu kiwanda HP hawawezi kufungua hata distribution center iwe ni ya east africa Tanzania sababu Tanzania sio Hub. kam ilivyo Kenya, Ethiooa South africa
  • Hp kama HP hawawezi hata kufuufngua hata Assembly au workshop center bongo. Binafsi simaini HP wanaweza kufungua hata kiwanda cha Power Adaptorr au betri za HP tanzania wachilia mbali HP server PC au laptop.

HP wataendelea kutumia third party wengine kuwawakilisha .Hiyo ya kufungua kiwanda ni gia labda hao third party wanashirikiana na Hp kukwepa kodi na kutafuta unafuu fulani.

In reality business enviromet ya Tanania haivutii wawekezaji seriuos na honest. Unless kama HP nao wanakuja kucheza madili.

Bongo hata magodown yanaitwa viwanda.


Wanachoweza kufanya HP ni ufungua Call center. this is possible but ni ndoto
 
Hivi nyie manokaa USA mmeshindwa kuwaambia hawa HP kuwa umeme wa kiwanda cha SIDO hatuna japo tuna mali ghafi zote za kuzalisha umeme...sasa iweje wao wanataka kuja kufungua kiwanda Tanzania ? Nchi imejaa wizi na urasimu uliotukuka

bora HP wakafungue kiwanda chao Msumbiji au Kenya au Rwanda

sisi bado maybe in the next 100 yrs...maybe
wewe bila shaka utakua mkimbizi wa Rwanda, kama ni mtanzania wa kweli wala usingesema maneno kama haya
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom