Ndio unamkaribisha mgeni wetu kwa ukali hivo? karibu sana mgeni...umeingia kifesibuku................howdy ndo nini???
Karibu sana......wewe ni she au he...........usitumie lughaya sms au facebook humu!!
Sisi babu zako hatutakusoam kabisa.
Sawa mjukuu!!!
Dah!! Hiyo avatar......!!Karibu sana
nashkuru wana jf kwa kunitoa kamba mguuni