How you look like?

Hivi nyie mnaojiita wanaume humu kama si ubasha ni nini....kaka wa watu mnamsakama kwa muonekano wake ili iweje mnataka ajione si mwanaume ili muanze kumfukua,mshindwe na mlegee sehemu zenu muhimu!

Nashukuru kwa kunitetea shosti maana hawa jamaa, Mhmmm!!!
 
katafuna kungu huyo!
Nina masha na jinsia yake.
Ngoja weekend ntamuibukia.

Njoo nikufunze adabu uje uwahadithie na wenzako wengine wenye tabia chafu kama yako. Siku hiyo ndio utajua kama mimi ndio Young Master au Young Mistress.
 
Vp mrembo!nimekumisooooooooooo kishenzi!!!!!!
But weka na ile pic ulo vaa kipini puani,
Au ile ulo vaa pensi ya jinzi na tshirt nyeupe,zile ziko bomba zaidi.

Naona sasa wewe una hamu na ban. Ngoja nikakusemehe kwa Invisible na X-PASTER the punishment of God.
 
Aisee wewe, unanifanya napata hasira, wenzio wanakuuliza maswali ya kejeli na ya kudhalilisha nawe unakazana kuwajibu kistaarabu, hebu kaza sauti uwajibu kama mwanaume!....

Waonyeshe kuwa wewe ni mwanaume kweli na sivyo wanavyokufikiria...

Unataka niwaonyeshe mara ngapi kwamba mimi ni mwanaume? Mpaka niwafungulie zipu?
 
U wanna know my appearance? This is how i look like.

profilepic62658_1.gif
Hivi!kwa sura hii mimi ebu nijuze,are you a girl or a boy???????????nijuze mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom