How you look like?

hahahaahahahaaha kwa hiyo tatizo ni jamani zake...unajuaje kama alizoea kushinda na dada zake,imetosha bwana mmemsakama sana!

Tunajaribu kumwepusha ili asijiunge na timu pinzani hatuna nia mbaya. Ila mbona haujibu pm zangu?
 
kwani kumwambia lotion ninayotumia tatizo liko wapi?
Aisee wewe, unanifanya napata hasira, wenzio wanakuuliza maswali ya kejeli na ya kudhalilisha nawe unakazana kuwajibu kistaarabu, hebu kaza sauti uwajibu kama mwanaume!....

Waonyeshe kuwa wewe ni mwanaume kweli na sivyo wanavyokufikiria...
 
kumbe mnampenda eeeee......si nimekuambia sijui kujibu pm

Sioni haja ya kumjengea uadui mtu hapa JF as long as tunakutana na challenge nyingi. Hatuonani sura ila tunatambuana kupitia maneno tunayapost humu JF. Halafu mbona unakuwa kama mtoto vile bi shosti
 
Aisee wewe, unanifanya napata hasira, wenzio wanakuuliza maswali ya kejeli na ya kudhalilisha nawe unakazana kuwajibu kistaarabu, hebu kaza sauti uwajibu kama mwanaume!....

Waonyeshe kuwa wewe ni mwanaume kweli na sivyo wanavyokufikiria...

Mwambie akaze msuli wa shingo watu wamuelewe
 
Tunajaribu kumwepusha ili asijiunge na timu pinzani hatuna nia mbaya. Ila mbona haujibu pm zangu?
Ila hamumtendei haki mwenzenu,.. Haipendezi, hajajiumba peke yake! Na kwani yeye ndie mwanaume wa kwanza kuwa na macho kama hayo?? Itakuwa vipi Mungu akikupa mtoto mwanamume mwenye macho kama yake? Acheni kumdhalilisha bana, na mnamwonea vile anaonekana wala hajui kujieleza!
 
Sioni haja ya kumjengea uadui mtu hapa JF as long as tunakutana na challenge nyingi. Hatuonani sura ila tunatambuana kupitia maneno tunayapost humu JF. Halafu mbona unakuwa kama mtoto vile bi shosti
utoto uko wapi hapo....
 
U wanna know my appearance? This is how i look like.

profilepic62658_1.gif
Vp mrembo!nimekumisooooooooooo kishenzi!!!!!!
But weka na ile pic ulo vaa kipini puani,
Au ile ulo vaa pensi ya jinzi na tshirt nyeupe,zile ziko bomba zaidi.
 
Jumapili mtandao wajf uligoma kidogo wakatudirect tumie ac ya jf on facebook, nikagundua idadi ya watu waliocomment kule wote ni warembo sana.. (samahani kwa watoto wa kiume..!) Huku kwenye jf wanatumia avatar za kutisha kujenga hoja..ha ha..
 
Huyo Maprosoo humjui eh halafu nilikupa angalizo unapokuwa unajibishana na wanaume utajijengea perception mbaya

Naomba uniazime kale kacheo nilichokuachia nika2mie kwa huyu jamaa halafu nitakurudishia.
MAPROSOO.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom