How you look like?

U wanna know my appearance? This is how i look like.

profilepic62658_1.gif

Sura yako inanifanya nitamani kuirudia ile ID yangu ya zamani.
MAPROSOO.
 
Hivi nyie mnaojiita wanaume humu kama si ubasha ni nini....kaka wa watu mnamsakama kwa muonekano wake ili iweje mnataka ajione si mwanaume ili muanze kumfukua,mshindwe na mlegee sehemu zenu muhimu!
 
Anashindwa kuitetea sura yake anabaki 'jamani, jamani'' sasa wanaume tumuelewe vipi ajikaze kama yeye ni mwanaume
 
hahahaahahahaaha kwa hiyo tatizo ni jamani zake...unajuaje kama alizoea kushinda na dada zake,imetosha bwana mmemsakama sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom