How you look like?

kitonsa

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
1,211
2,636
Nikisoma mada mbali mbali kutokana na lugha wanayotumia wachangiaji huwa najenga picha fulani ya mwonekano halisi wa muhusika. Wengine nawahisi ni mijitu yenye sura mbaya na miumbo ya kutisha, yawezekana siwatendei haki. Naomba nijuze mwonekano wako?
 
Yaani unavyojiona wewe ndiyo nilivyo mie ! Yaani tunafanana hadi kuhema ! Na kupumua !
 
kwa kuwa nimeumbwa kwa mfano wa Mungu u can imagine how do i look like...
 
Avatar yangu inajieleza.
Hapa nilikuwa na miaka mitano, ongeza ndevu na ugumu wa sura then utajua nikoje...
 
U wanna know my appearance? This is how i look like.

profilepic62658_1.gif
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom