kwanza naomba nikiri jf imenifundisha mengi sana ikiwemo kuacha kuibiwa na mafundi uchwara waliokuwa wananiwekea software kwa bei ya kihuni na baada ya trial kwisha inanidai keys, lakini kupitia hapa nikajua torrents na sasa napata almost software yoyote niitakayo ikiwa na keys zake.
Kuna mambo kadhaa sijajua kuhusu torrents na ningependa kujua.
hivi seeders, leechers na peers nikina nani hasa, nimejaribu kugoogle nimeona seeders ni wanao host file, leechers ni wanaodownload, na peers ni jumla ya wote seeders na leechers.
Ikiwa kama seeders ndio wana host file je hii inamaanisha site husika haina hilo file?
Je nikimaliza kudownload file kila nikiingia online AUTOMATIC namimi nakuwa seeder?
Nakama nikiwa seeder si inamaana na upload file, na kama na upload file ina maana bundle yangu inalika?
Je file linaingiaje katika mzunguko kwa mara ya kwanza kabisa.
Pia je sheria zina semaje kuhusu torrents site
May be maswali yangu yako wrong kwasababu ya kutokujua torrent zinavofanyakazi.
Naomba mwongozo wadau