How to watch live football online free of charge like epl

e2themiza

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
974
563
Habari zenuu wana jamii mie mgeni katika hii thread ya sports na matumaini paia hiki nicholeta hapa ni geni anyway watu tunapenda sana soccer

but in some way or another hii kitu ni very expensive haswa english premier league ambapo ni kepenzi kikubwa sana duniani nimepata website

nyingi tu ambazo zinarusha matangazo live kabisa na ni free no registration just uwe na connection ya internet basi na utaweza angalia karibia all

the live sport events ok bila kongea sana kwanza website ya kwanza hii apa MyPremium.TV apoi utaweza ona live channels ambazo

ni Sky Sports 1, Sky Sports 2, Sky Sports 3, Sky Sports 4, Sky Sports News, Eurosport 1, Eurosport 2 na ESPN... cha kuzingatia ni kuwa na

adobe flash player installed na click mojawapo ya hzo channels na utaona itaload utaona kuna adverts subiri sekunde kadha zitatoka and VOLLA

una check live tv fresh kabisa ambapo Sky Sports zintaonyesha English Premier League... ok hio ni website ya kwanza hii nyingine hii apa

LiveTV / Live Sport Streams, Football, Soccer, Ice Hockey, Tennis, Basketball apo utaona karibia kila soccer live kuna friendly, champions league, europa, epl, n.k na vile vile soon pia wataonyesha pia

mechi live kabisa ya Ngassa vs Man united apo apo nayo pia ni free kabisa na kwenye ratiba apo imesetiwa masaa ya uingereza ambapo uta plus

2 hours ndo masaa ya hapa... vile vile website nyingine Free Football, match schedule, streams, live TV, Premier League, La Liga pia apo utaona live soccer nyingi 2...

na ikiwa umeshindwa kunifanikiwa kuangalia mpira ni pm nikuelekeze fresh na pia ikitokea labda mechi unayotaka hauioni ni pm ntakupa link

uingalie.... na pia utakuwa unajiuliza jee itakuwa inakula mb ngap kwa mechi mie naungaka na mb400 ya airtel kwa 2500 ambapo nagalia mechi

mbili ambapo inabaki kama mb 30 hv.au ukitaka kufaidii ipasavyo unga unlimited ndo utafaidi soccer non stop.
 
asante Mpwa, utakuwa umepunguza matatizo nyumbani maana kila saa kukimbilia mechi za nje..noma, ukirudi umefungiwa mlango, mara ukirudi wamenunu bila sababu....ukibaki pale pale wanakwambia wanataka waangalie tamthiliya ....aaaahh basi kero tuuuuuuuuu
 
asante Mpwa, utakuwa umepunguza matatizo nyumbani maana kila saa kukimbilia mechi za nje..noma, ukirudi umefungiwa, mata ukirudi wamenunua....ukibaki pale pale wanakwambia wanataka waangalie tamthiliya ....
Hehehe! ni kweli mkuu
 
Back
Top Bottom