How to use JamiiForums effectively

Status
Not open for further replies.
Someone has posted a very interesting comment and indeed request to JF and to any JF member who knows more about UB(University of Bagamoyo) He/she says he/she was watching TBC1 This Week In Perspective programme most likely on Friday 7 January,2011. I am the producer and moderator of this programme and have been since January 2005. He/she watched on the programme one panelist: Dr Sengondo Mvungi being introduced as someone from the University of Bagamoyo. Yes he is and yes there is a University of Bagamoyo. This is a relatively new private/independent university established by human rights based organisations in the country. I advise the JF member to log on www.ub.ac.tz for more details and information on this university whose Chancellor is a very well known clergy: Rt Rev. Bishop Elinaza Sendoro and its top management is composed of some well known academics. Continue to watch This Week In Perspective every Friday at 21.00 hours and on Tuesday at 14.00 for the repeat programme.I believe you learnt a great deal on the issue of a new constitution for Tanzania, the subject/topic of discussion on the programme. I can be contacted as a JF member at simbeyeadam@yahoo.com. Best regards and good luck.
 
REF:How to use jamii forums effectively.
Nashukuru kwa kuwepo kwa jamii forum kwani imenifanya nipende nchi yangu na kutaka
kujua mengi katika ulingo wa siasa na mambo mengina mengi yanayotufikia kupitia ukumbi huu.
Ilike Jamii forum for really:smile-big:
 
All the member of JF napenda kuwappa salamu na pngezi kwa kzi nzuuri mnayoifanya hapa,
Kwani inaelimisha na kuiweka jamii katika hali ya kujua na kufahamu ni nini kinachoendelea katika
nchi yao,na Dunia kwa ujumla wake.Nawapongeza sana.Ni mara yangu ya kwanza katika jf,nadhani
tutakuwa pamoja katika kujadili mada na kuelimishana mambo mbalimbali,pia katika
kupeana habari mbalimbali.Peace and love.:smile-big:
 
Hongereni sana UDASA kwa kutuandalia mdaharo.japo lengo kubwa lilikuwa ni kuamsha move nzima ya kuelekea katiba mpya lakini umetusaidia kujua pia mambo mengi ambayo yanaendelea kutokea nchini kwetu.lakini binafsi nimeslkitishwa sana na kauli ya Generali Ulimwengu aliyeudhibitishia umma wa Watanzania ya kwamba tunaongozwa na Rais aliyeingia madarakani kwa wizi wa kura kupitia tume yake ya Uchaguzi."mpaka sasa tume haijui Rais aliingia Madarakani kwa kura Ngapi kwa kuwa Moja ya Soft copy zilizokuwa zinatumika kwenye uchaguzi zimepotea"hii imewafanya washindwe kucompile kura zote na kujua idadi kamili.
HUU NI UHUNI LAIVU.
KM MTANZANIA UNAMTAZAMO GANI?
 
Hi guys at JF am mwanachama mpya tuko pamoja.
Sasa najua jinsi ya kutumia jamii forum effectivelly
 
Kama majuma mawili yaliyopita gazeti la Tanzania Daima lilichapisha mahojiano na Mh. Rostam Aziz akiikana Dowans na kuna shehemu alisema kuwa hizo pesa zinazoongelewa ni mapato ya biashara zake nje na ndani ya nchi kwa muda wa miezi mitatu tu! Wakati huo walikuwa wakisema ni Bilion 185 nadhani, nikilinganisha na taarifa za mapato ya makampuni mengine ninayoona sikujua kama tuna watu wenye kipato kama hicho hapa Tanzania ambaopia wamo kwenye mfumo wa uongozi wa nchi. Kuna haja ya kuendelea kushangaa!!!??
 
Hi mods,am a new member wa jamii forums so naomba maelekezo ya kina on how to send and reply topic mbalimbali zinazojadiliwa.
 
Hallow Great Thinkers, i have just joined into this community of socialization please welcome me and me be part of the group. Mwaaaaaa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom