How to use JamiiForums effectively

Status
Not open for further replies.
kuna wakati niliuliza sababu ya kuwekwa nyota kwenye topic sikupata jibu. nadhani leo nitapata, mkuu
 
Jamani sipaoni mahali ambapo nitaweza kwenda kuedit avatar na signature yangu. Zamani nilikuwa naenda kwenye USERCP, lakini sasa nikienda sioni feature hizo za kuedit. Naombeni mnielekeze.
 
Bado nasubiri mnisaidie kujibu swali langu. Nimesema sipaoni mahali ambapo nitaweza kuedit avatar na signature yangu
 
Ahsante sana JF. Mimi ni mwanachama mpya, lakini kabla ya kupost thread yeyote, naomba nitoe mchango wangu kwanza kwa JF kwa kazi kubwa waifanyayo. Nimesoma jinsi kulivyo na gharama za kuifanya kazi hii. JF tafadhari nitakutafuta nikutumie mchango wangu huo, kupitia Max kama maelezo yasemavyo.
 
Yes jaman maelezo ni marefu sn ingefaa uweke sehem au uweke link tuwe tunasoma kila siku
 
Mimi ni mrs. Quality nimejiunga leo. Nimesoma maelekezo yote na nimeelewa vizuri sana. Hivi punde nitaweza kupost thread yangu ya kwanza. Invisible, Naomba unisaidie!

Ahsante sana

Mrs. Quality
 
Ivi ukitaka kuweka attachment kama ya PDF au MS word ndo mpaka uwe uwe premium nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom