How to unlock samsung sgh-t139

sixlove

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
549
371
Habari wakuu, nimetumiwa simu aina ya samsung, model number SGH-T139, IMEI number yake ni 012404/00/065516/7 kutoka CANADA, tatizo ni kwamba haishiki network za hapa bongo. Naomba kwa anayefahamu jinsi ya ku unlock anisidie.

natanguliza shukrani
 
procedure :
1. insert unaccepted sim card to phone
2. type *2767*3855# (the phone will reboot with full E2P reset)
3. now *#7465625*638*00000000*00000000#
4. and #7465625*638*00000000#
 
Hi you can easily unlock your mobile through unlock code. If you need unlock code visit this site MobileUnlockSolutions.com check your network service is available or not. If it is available get the unlock code from this site and unlock your mobile easily.
 
Habari!Naomba kwa anayejua codes za ku unlock samsung T139 yenye IMEI number 355166/05/761656/7
Asanteni na nina imani wataalamu humu ndani watanisaidia
 
procedure :
1. insert unaccepted sim card to phone
2. type *2767*3855# (the phone will reboot with full E2P reset)
3. now *#7465625*638*00000000*00000000#
4. and #7465625*638*00000000#
Vipi ndugu!Naomba nisaidie code za ku unlock samsung SHG T139 yenye IMEI 355166/05/761656/7
 
Back
Top Bottom